Kapepa Maswanya
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 265
- 107
Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Utumbuaj utakukuta tuWakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Weka uthibitisho nawewe usije ukawa unabwabwaja tu.points 3 nani akuchague,labda kama ni science educationWakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
Na nimesoma CBGSawa wakuu lakini nilipenda kujua kama iko hvo au kwangu tu?
Ushahidi wa kuwa nimechaguliwa au wa ufahulu?weka ushahidii
weka screenshot kama kweli?Ushahidi wa kuwa nimechaguliwa au wa ufahulu?
Sitanii mkuu we toa ushauri wakoweka screenshot kama kweli?
mbona wengi tu mwingine ana CEF yupo udsm kaz kwako......
haaaaa! alaf wametema watu wenye two zaoMkuu unadhani nafanya utani au?Niko sure banaweka huo ushahidi wa bachela DEE
mkono mfupi haulambwi ahaaa ni ile ile namba wata isoma![]()
![]()
haaaaa! alaf wametema watu wenye two zao