Customs officer TRA

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
What are the updates. Naona thread zimepotea. Barua zishawafikia watu? Wanapiga simu au ni barua tu?
 
heloTRA wametoa barua na sim pia wanapiga. Jaribu kuangalia posta maana barua zinakuja kabla ya sim kama upo apa Dar-es-Salaam. Fuatilia mapema maana kuanzia tarehe 3 inabidi uwe umeattend
 
TRA wanatoa barua na kupiga sim pia. Kama uko apa Dar jaribu kufatilia kwanza posta maana naona kama barua zimewai kabla ata ya sim. Fuatilia mapema maana mpaka taree 3 inabidi uwe umeattend
 
Watu waliochaguliwa ni 58 badala ya 40. Naripoti kutoka humo ndani ya mamlaka.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom