Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Lineage mkuu hawana rom kwa simu za tecno...hiyo rom yako ya uchochoron ndiomana umepata bugs kweny sound...Habari wadau/wakuu.
Nimeflash simu yangu ya tecno w3 mkt6580 Android 6.0 hios lite 1.0 kwa kuiwekea custom rom ya lineageOs 13 yenye android 6.0.1.
Imefanikiwa na inafanya kazi vizuri. Tatizo nililokutana nalo ni speaker aitoi sauti hususan umaposikiliza na kuangalia music na video.
naombeni msaada jinsi ya kulitatua tatizo hili.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji wote.
nashukuru kwa ushauli wako mkuuLineage mkuu hawana rom kwa simu za tecno...hiyo rom yako ya uchochoron ndiomana umepata bugs mweny sound...
Ushaur ni kuchek update ya hyo rom,kama ipo fanya kuweka latest build itayo fix sound...vinginevyo rudi ulipo download rom yako uangalie kama kuna fix yyte..
So far kama unapenda custom rom bas brand kubwa ndio zina support
huwa inatatuliwaje mkuu kwa hizo sim za samsumg?Hata samsung hupata hii shida
Ulkua unatumia rom gan? Kweny sim ipiMkuu mimi nilirudisha stock Rom
Nimefanya hivyo. But tatizo halijatatulikaifanyie restore factory itakaa sawa