Hapo ni Zanzibar!Aisee, na hii gani tumei-overtake sasahivi... Mungu awalinde tu
Magara moja hiyo MkuuView attachment 569271
Kuelekea Mbulu kupitia MbuyuwaMjerumani...
Kabisa mkuu.... ndio penyewe...
kama kawa kama dawa....bumper to bumper.Vunja mifupa kama meno bado iko
Ivi njiwa sasa ivi wanauzwaje?sokoni for kitoweo
mleta mada naona kama thread yako imekuzidi uwezo.....nilitegemea wewe kama mwenye thread ungekuwa kinara katika "kuitrendisha".Huu ni uzi maalum wa kupost picha ya eneo husika ulilopo au ulilokuwepo kipindi fulani!
Welcome!!