CUF wamesambaratika vipi Zanzibar?
Mbona hiyo kadi kapewa Kikwete tena kwao bara (kawe) na si Zanzibar....haya mpeni cheo na huyo?
Mtu wa pwani, unakumbukumbu za Salum Msabah Mbarouk, kaacha jimbo la MjiMkongwe na kutanga na njia, CUf ipo pale pale ngangari na hivi sasa inaingia ikulu.
Tumeambiwa na Muhunzi naye atakuja msubirini ila misahau kuwapa vyeo hao watakutokeni waende chadema