CUF yajitoa rasmi UKAWA

Ukawa ni jina mbadala la chadema. Ukawa halisi ulikufa siku aliyojiuzulu lipumba na kuzikwa rasmi siku aliyoidhinishwa lipumba na mahakama kama mwenyekiti halali wa cuf.
 
Hivi huu Umoja wa hivi vyama ccm, cuf, tlp na Cheyo (Mapesa) unaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…