CUF yajitoa rasmi UKAWA

Lipumba ndio Muasisi wa Ukawa Na Hata Jina hilo amelitohoa Lipumba kwa mujibu wa Maalim Seif Na Mbowe

Siasa ya Chadema Haina Mtabiri

Usishangae Prof Lipumba akawa ndio Mgombea wa Chadema 2020 akawa anaitwa 'Rais wa Mioyo yetu'

Sawa keshajitoea ila ni vizuri ili chama linakufa kifo cha mende miguu juu
 
Bado wako kwenye right track
 
Lipumba ndio Muasisi wa Ukawa Na Hata Jina hilo amelitohoa Lipumba kwa mujibu wa Maalim Seif Na Mbowe

Siasa ya Chadema Haina Mtabiri

Usishangae Prof Lipumba akawa ndio Mgombea wa Chadema 2020 akawa anaitwa 'Rais wa Mioyo yetu'
Story za uzwazwa tuu hizo!
 
Hivi hawa jamaa wana tuchukuliaje wa Tanzania!!??
 
Du kweli Le profeseli kamchagua katibu mwenye kariba kama zake!!
 
Cuf Lipumba haiko Ukawa siku zote mara baada ya kuwa na Cuf mbili.
 
Kwani hiyo cuf ipo?

In God we trust
CUF Lipumba ni mali ya msajili wa vyama vya Siasa na jaji wa mahakama aliyewasaidia kuipora wasingeweza kuwa huko maana hawana wanachama tena kila mtu kawakimbia tayari
 
Toka Lini Lipumba alikuwa UKAWA ama anatafuta attention

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Naona kazi aliyotumwa kaianza

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cuf Lipumba haiko Ukawa siku zote mara baada ya kuwa na Cuf mbili.

Cuf Lipumba ni mali ya msajili wa vyama vya siasa Nchini kwani pindi Lipumba akichukua Ruzuku huwa wanagawana gheto kwa Lipumba kwani hana mke ingawa huchepuka na Sakaya mara moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…