Ni kweli UKAWA umekuwa UKIWAKatibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.
Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.
"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Kwani hiyo cuf ipo?Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.
Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.
"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.
Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.
"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Na cuf sasa imekuwa ni mramba viatu wa ccm
Inapumulia mipira huko icukama ukawa UKO taaban sijui cuf ikoje
Jr
Hahaha ccm bana akili zenu ndogo sana cuf ipi ilikuwa ndani ya ukawa?
Nani asiejua kua nyinyi in mamlukiKwani hiyo cuf ipo?
In God we trust
Politically deadkama ukawa UKO taaban sijui cuf ikoje
Hahaha lupumba kwisha pale
IPO ICUkama ukawa UKO taaban sijui cuf ikoje
Jr
Kwani hilo ilikuwa mpaka aseme wakati UKAWA wenyewe wanajuwa kuwa CUF haipo tena iko CUF lipumba ambayo haina makubaliano yeyote na UKAWA?
Kwani hiyo cuf ipo?
In God we trust