Kifaru86 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,734 Reaction score 3,827 Jun 11, 2021 #21 Usher-smith MD said: Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? Click to expand... Inavyosemekana habari chini ya kapeti kuna mgogoro mkubwa unaendelea ndani ya chama Chanzo cha mgogoro kuna pesa inasemekana propesa kuna hela amekula Bila kuwagawia wenzie
Usher-smith MD said: Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? Click to expand... Inavyosemekana habari chini ya kapeti kuna mgogoro mkubwa unaendelea ndani ya chama Chanzo cha mgogoro kuna pesa inasemekana propesa kuna hela amekula Bila kuwagawia wenzie
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Jun 11, 2021 #22 Usher-smith MD said: Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? Click to expand... Lipumba amefanikiwa jujiua kisiasa yeye mwenyewe.
Usher-smith MD said: Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? Click to expand... Lipumba amefanikiwa jujiua kisiasa yeye mwenyewe.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,825 Jun 11, 2021 #23 Babati said: Hana hela maana chama hakina ruzuku Click to expand... Hata ACT na CHADEMA hawana ruzuku mkuu
Babati said: Hana hela maana chama hakina ruzuku Click to expand... Hata ACT na CHADEMA hawana ruzuku mkuu
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Jun 11, 2021 #24 Ruzuku hakuna, huwezi ukamuona Lipumba wala sakaya wakipiga kelele tena
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Nov 23, 2021 #25 Ipo imara.
mkombengwa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 3,180 Reaction score 3,458 Nov 23, 2021 #26 Abdallah_Kichwaz said: Ipo imara. Click to expand... Nadhan ulimaanisha kipaimara..
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,477 Reaction score 45,050 Nov 23, 2021 #27 Huyu mzee tunamdai hela zetu...ni mtuhumiwa. Zile walikiwa wanagawaniana pale nmb magomeni.. Ukiwa na wazee 10 kama hawa nchi haipogi hatua.. Nafsi imenisutaaa...nafsi imenisusaa wananchi..!! ha ha ha CUF ishabaki tawi la CCM
Huyu mzee tunamdai hela zetu...ni mtuhumiwa. Zile walikiwa wanagawaniana pale nmb magomeni.. Ukiwa na wazee 10 kama hawa nchi haipogi hatua.. Nafsi imenisutaaa...nafsi imenisusaa wananchi..!! ha ha ha CUF ishabaki tawi la CCM