hivi Zanzibar wana masilahi gani? Mbona hivyo. Sasa naichukia rasmi ZENJI. Mnatuamria maisha yetu! Wake up watanganyika, tuidai nchi yetu
Duni anatetea serikali ya umoja wa kitaifa iliyotokana na uhuni wa chama cha mapinduzi.
pointless, muda mwingine kama huna cha kuchangia kaa kimya.Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?
Chatema wamekwisha...wamezikurupukia thiatha dha tanzania thatha zinawatokea puani...tena wanaenda ikulu kujimalidha dhaidi, waulidheni nccr ilikuwa na vichwa zaidi hivi vya chadema wa leo, miaka ya 90 leo wako wapi, walikuw wakiongozwa na kilaza mrema kama kilaza mbowe, poleni vijana
wenzangu mlioko chadema...njooni chama dume ingawa kuna changamoto za hapa na pale.....
Wewe endelea kuamini hivyo, sina chama lakini kwa pumba hizi unaonyesha bado unatumia Diapa.Chatema wamekwisha...wamezikurupukia thiatha dha tanzania thatha zinawatokea puani...tena wanaenda ikulu kujimalidha dhaidi, waulidheni nccr ilikuwa na vichwa zaidi hivi vya chadema wa leo, miaka ya 90 leo wako wapi, walikuw wakiongozwa na kilaza mrema kama kilaza mbowe, poleni vijana wenzangu mlioko chadema...njooni chama dume ingawa kuna changamoto za hapa na pale.....
Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?
Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya Tanganyika na Zanzibar.Waziri huyo ameilaani Chadema na kumfananisha Tundu Lissu na mtu asiye na akili. Bwana Juma Duni Haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya Jumatatu.
Kwali nyani haoni.....la mwenzake, hivi wewe huona wanachokifanya viongozi wa Chadema, kina Tundu Lissu, Dk Slaa, wanavyoisakama hiyo Cuf? Ndio siasa zetu za Tanzania mwenzeko hakimwaga mboga wewe unamwaga ugali!
Magamba yamegoma kuvulika bosi wako nape kasusa sasa sidhani kama atakuwa bado na uwezo wa kukulipa wewe,rejao,mwita25
,ritz na wenzenu wengine,anzeni kufanya mazoezi ya kujitegemea,uharo jf payroll won't exist any more,nape kwisha habari yake