Mwenye updates atujuze ni nini kinaendelea huko walipo maana nimewaona wanaandamana pamoja na polisi nikawa sijaelewa chezo wale polisi hawana silaha ya aina yeyote ile hata rungu nikajiuliza kama ingekuwa ni CHADEMA jamaa wangejikoki kama wanaenda kwenye mapambano na janjaweed au Taliban.
kumbe cuf....inawanyima sana raha....chadema,sasa hapa ndio ccm hutumia chance inaleta propaganda vyama vya upinzani vimepoteza dira sasa wanagombana wenyewe kwa wenyewe......kwa mpango huu 2015 chadema na cuf msipo weka tofauti zenu pembeni 2015......ccm itatawala milele kwani nyinyi nyote mna mtaji wa watu