CUF waridhia uamuzi wa JK; Wampongeza kusaini muswada mabadiliko ya katiba na kumuunga mkono

For all intents and purposes, CUF hawakuwa na haja kwenda ikulu kueleza msimamo wao huu; a press conference would have sufficed - wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya vyama vya siasa vinapewa ruzuku ambayo kimsingi ni fedha ya walipa kodi ambao, unfortunately, hawana mtetezi...

Lengo lao ilikuwa ni ujasusi dhidi ya Chadema.Wewe unadhani kile kigenge chao kilichoenda ikulu kinaweza kuongea nini cha maana?
 
Unajua mwaka 2005 kuwa CuF hawakufikisha 12.5% ya wabunge ili kukidhi matakwa ya kanuni za bunge juu ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni? Kanuni iliwalazimu kuungana na chadema ili kuunda kambi rasmi ya upinzani.

Kabla hujatoa maoni, lawama au shutuma tafakari vizuri. Asante.
Wala sio hilo tu la kufikisha asilimia 12.5%, ukweli ni kwamba mwaka 2005 CUF na Chadema walikuwa na Ubia toka uchaguzi wakiachiana majimbo. Hivyo hata walipofika bungeni iliwalazimu kuunda chama maana walikuwa pamoja toka uchaguzi...Tatizo la mwqaka 2010 CUF wamejiengua Ubia na Chadema wakaenda kuunda Ubia na CCM ili kupata suluhisho la Zanzibar wakasahau kwamba wanatakiwa kuwakilisha hata Bara.

Kwa hiyo wamepoteza moja (bara) na kwa mtazamo wao wamefanikisha la Zanzibar sasa chuki yao kwa Chadema wakati maamuzi ni yao ndipo sielewi inatoka wapi!
 
Sielewi CUF Tanzania Bara wanapata wapi ujasiri wa kuongea mbele za watu? Sasa tunaelewa kwa nini hakuna la maana lilifanyika wakati CUF wakiwa ndio chama kikuu cha upinzani! Housegirl!

Watanzania hawadanganyiki tena mkuu wangu.Hakika kwa watanzania bara kuliko kuipa kura CUF ni bora uchague CCM.
 
Hivi CUF ni wanafiki,wanasumbuliwa na ndoa yao na CCM? Walishiriki kupitisha sheria hiyo bungeni, walikuwa wapi kutoa hoja hizo, badala yake waliishia kuijadiri CHADEMA wakaacha kujadiri mswada uliokuwa mbele yao. Kwa jinsi hii tutafika kweli?

wakaonyesha pia na chuki ya ajabu kwa watu wa Tanzania bara.Sitosahau maneno ya hamad rashid na mnyaa kwa watu wa Tanzania bara aliyotoa bungeni.
 
Alaa mkuu wangu wewe vipi? Yaani Chadema waliokuwa na CUF toka mwaka 1995 dhidi ya CCM, ghafla CUF wamejitoa na wamekuja unda urafiki na CCM, ulitaka Chadema wakae upande gani?..Maalim Seif alikuwa na kila dalili za Ushindi Zanzibar mkaungana na CCM kugawana vyeo, wewe unataka Chadema washangilie hilo. Na mlipokwenda fanya Muafaka kwa nini msiwajuze Chadema ambao ni wabia wenu..

Mkuu wangu CUF imejiweka sehemu mbaya wenyewe kwa kudanganywa na CCM. Na niliyasema haya hapa hapa JF kabla hata muafaka haujamalizika ya kwamba CCM watahakikisha wanashika sehemu zote muhimu na wamefanya hivyo. Na kisiasa chama cha Upinzani hujenga kambi na vyama vinavyopingana na chama tawala na sio vile vilivyoshindwa viunde umoja. CUF, NCCR,TLP na vyama vingine vyote vilivyochukua nafasi chini ya pili wana takiwa kuchagua upande wanaoona unashabihiana na malengo yao.

Hivyo, huwezi kuunda kambi moja na CUF chama kinachoshabikia sera za CCM, na hata kutumika ktk aendeleo ya Zanzibar waliko na Ubia.. Hivi tulivyo leo ndivyo inavyotakiwa kuwa. CCM na CUF kisha unakuta Chadema na NCCR picha zinakwenda na ndivyo ilivyotakiwa. Mimi naweza kusema tu NCCR walitakiwa kupewa nafasi ktk kuunda kambi ya Upinzani lakini sio CUF wala TLP kwa sababu hivi vyama vinaunga mkono sera za CCM..And that is Politics mkuu wangu.

Kumbe hujui kwamba SUK ya zanzibar ni kikatiba na kwamba hata kama chadema ingeweza kupata mbunge zanzibar wa kuchaguliwa na wananchi wangeshiriki kwenye serikali ya kitaifa kwa mujibu wa katiba..lol

Chadema ndio inaongoza kwa kudharau wazanzibar hata wanadiriki kudharau mgawanyiko wa madaraka kwa mujibu wa sheria?? kwa hiyo chadema mliona wivu sana CUF kushirki serikalini kwa mujibu wa katiba?? au mnawadharau wananchi na katiba ya wazanzibar?? hamueleweki..

Kama mlishindwa kuwashirikisha CUF kwanini msiwashirikishi NCCR mageuzi?? chadema ni agent wa kugawa upinzani..hakuna la maana hapo.
 
Mkuu Topical,kura zote za Wapemba wa CUF wenye chuki na watu wa Tanzania bara ni sawa na kura za Mnyika hapa Ubungo.Pili unajifanya kuisemea NCCR ili kujenga chuki mbona hukuisemea siku walipoungana na chadema kutoka nje bungeni?
 
Chadema walishirikishwa kwenye upinzani rasmi bungeni wakati ambapo CUF ilikuwa na majority ya upinzani wao walipopata waliwatosa nje ya kambi

Hawakuishia hapa viongozi wa chadema waliwashutumu waziwazi CUF kwamba ni CCM-B majukwaani e.g. kampeni igunga etc..

Chadema ni agent wa kugawanya wapinzani

Mkuu Topical,

Ukishaungana na chama tawala kuunda serikali ya mseto inakuweka pabaya na unakosa nguvu ya kuipinga serikali. Mheshimiwa Dr. Shein ni Mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Serikali ya Muungano, so kila kinachopendekezwa na serikali ya CCM anakubaliana nacho na anakipeleka Zanzibar na kumshirikisha Maalim Seif [Makamu wake]. Maalim Seif akishakubali ndo imetoka ni kupeleka taarifa kwenye kikao cha Wabunge wa CUF kwamba ungeni mkono hoja.

Ukisoma sheria hiyo ya mchakato wa kuunda Katiba Mpya utagundua kwamba indirectly CUF visiwani watashirikishwa. Ukishamshirikisha Rais wa SMZ indirectly umemshirikisha Maalim na ukishamshirikisha Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar indirectly umeishirikisha CUF Visiwani. Kwa hiyo interest zote za CUF visiwani zimeishakuwa covered au wako assured kwamba watashirikishwa kupitia kwenye vikao vya serikali ya Mseto. Ndiyo maana wabunge wa CUF wote waliunga mkono na tamko lao linaonyesha kuunga mkono kila kitu.

Kwa hiyo kwa mahali CUF ilipo ni vigumu sana kuweza kueleweka ukizingatia kwamba wabunge wengi wa CUF wanatoka Visiwani, wa bara wapo sijui wanne au watano tu. Hao wa kutoka Zanzibar wanakuja wakiwa na msimamo tayari kutoka kwa Maalim na Maalim anakuwa na huo msimamo baada ya kujadiliana na Dr. Shein.

Kama CHADEMA na CUF wangekuwa wameunda kambi upinzani, kwenye hili la mswada wa mchakato wa Katiba wangetofautiana sana, maana CUF wangeunga mkono na CHADEMA wangepinga. Sasa hapo kuna umuhimu wa kuungana na CUF? Mseto kwenye SMZ umewafanya wa-compromise mambo mengi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Hivi uliwasikia wawakilishi wa CUF wakipiga kelele nyingi sana meli ilipozama? Waziri wa wizara inayoshughulika na mambo ya uchukuzi ni kutoka CUF. Kuikoromea serikali ya mseto ni sawa na kumkoromea Maalim na pia ni kutoonyesha kwamba CUF hawako makini.
 
Mkuu ili tujadili twende taratibu..

Hivi nyie chadema kama mngepata mbunge wa kuchaguliwa zanzibar (kwa mujibu wa katiba mungekuwa SUK) mngekataa???

Hivi kama mna nia kweli ya umoja wa upinzani Tanzania kwanini msingewaacha CUF mkaungana na NCCR??

Naomba maelezo ya maana chadema ni agent wa kugawana upinzani Tanzania...(nitabadili hii kauli mkinipa majibu ya maana ya mswali hayo kwanza na mengine
 
Kumbe hujui kwamba SUK ya zanzibar ni kikatiba na kwamba hata kama chadema ingeweza kupata mbunge zanzibar wa kuchaguliwa na wananchi wangeshiriki kwenye serikali ya kitaifa kwa mujibu wa katiba..lol

Chadema ndio inaongoza kwa kudharau wazanzibar hata wanadiriki kudharau mgawanyiko wa madaraka kwa mujibu wa sheria?? kwa hiyo chadema mliona wivu sana CUF kushirki serikalini kwa mujibu wa katiba?? au mnawadharau wananchi na katiba ya wazanzibar?? hamueleweki..

Kama mlishindwa kuwashirikisha CUF kwanini msiwashirikishi NCCR mageuzi?? chadema ni agent wa kugawa upinzani..hakuna la maana hapo.
Unazungumza vitu gani mkuu wangu? Ni wapi katika katiba hiyo kunasema hivyo. Ama unachanganya vitu!... Chadema hawawezi kugombea Ubunge wa ndani wa Zanzibar kwa sababu chama hiki mnakiona ni cha bara na wanaweza tu kushiriki ktk uchaguzi wa Taifa. Na hata kama sheria inasema hivyo mnayo masharti makubwa ambayo hayawezi kuwashirikisha Chadema ktk uchaguzi wa serikali ya Zanzibar. Vyama vya ndani zanzibar vina historia, vina asili na upinzani wa Kizanzibar sio vyama vya demokrasia ya kweli..Kwa kuelewa hivyo, ndio maana Chadema waliungana nanyi toka mwaka 1995 na hata mwaka 2010 Chadema bado Ilikuwa na Seif Hamad sio Dr.Shein - Check your report. Halafu nakuomba list ya wagombea wote wa Urais Zanzibar na vyama vyao...

Halafu ebu wewe nambie.. pamoja na kwamba nampenda sana Dr.Shein lakini huyo alikuwa amejiandisha bara, mkazi wa bara na kisheria hakutakiwa hata kugombea Urais wa Zanzibar lakini kagombea na hamkusema kitu hata baada ya matokeo ya utata kama haya:-
1. DK ALI MOHAMMED SHEIN alipata kura 179,809 ambayo ni 50.1%
2. MAALIM SEIF SHARIF HAMAD 176,338 ambayo ni 49.1% halafu KURA ZILIZOHARIBIKA ni 6109.. kuharibika kura hizo 6,000 peke yake ingetakiwa uchaguzi urudiwe maana hapa inaonyesha kuna makosa yamefanyika aidha kwa makusudi ama kutotambuliwa na inauma kusikia kura yako haikuhesabiwa ati imeharibika. Lakini aaah, mkakaa mkao wa kula na CCM.

Sasa kama kweli CUF si CCM B mnataka muitwe vipi ikiwa hamuwezi kuwawakilisha wananchi wennu badala yake mnakuja gawana madaraka. Leo huyo Seif hamad Kimyaa kawaachia kina Mnyaa na Rashid wapige madongo pengine nao watakuja pewa wadhifa wale masalia..
 
Mkuu ili tujadili twende taratibu..

Hivi nyie chadema kama mngepata mbunge wa kuchaguliwa zanzibar (kwa mujibu wa katiba mungekuwa SUK) mngekataa???

Hivi kama mna nia kweli ya umoja wa upinzani Tanzania kwanini msingewaacha CUF mkaungana na NCCR??

Naomba maelezo ya maana chadema ni agent wa kugawana upinzani Tanzania...(nitabadili hii kauli mkinipa majibu ya maana ya mswali hayo kwanza na mengine

Mkuu Topical,

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi siyo mwana CHADEMA. Ninapojadili hapa, ninajadili hapa sifungwi au kufungamana na siasa za chama chochote.

Tatizo la kwanza kwenye hiyo Katiba unayoiongelea ni kwamba mabadiliko yaliyofanywa ni matokeo ya muafaka kati ya CCM na CUF. Kama chaguzi za Zanzibar zimekuwa zikishirikisha vyama zaidi ya hivyo viwili, kulikoni muafaka ukawa wa vyama viwili tu? Je, vyama vingine havikutakiwa kushirikishwa? Je, walialikwa halafu wakagoma? Kwa hiyo, Katiba unayoisema wewe tayari ina matatizo na sidhani kama utashi wa vyama vingine uliwekwa kwenye hayo mabadiliko.

CUF na NCCR waliungana na ndiyo matokeo ya ile tafsiri ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Lakini ndoa hiyo nayo haikudumu na ndio maana juzi Mkosamali na Kafulila walitoka Bungeni ili wasishiriki mjadala wa Katiba. Buyogela na Machali walibaki na wao waliweka msimamo wao wazi kwamba walikuwa wanapinga mswada huo. Kafulila alikuwa kiongozi kwenye hiyo ndoa ya NCCR na CUF, ilikuwaje akatofautiana na wapinzani wenzake [CUF]?
 
Mkuu Topical,ninyi mtakuwa mnakula makombo Zanzibar tu daima dumu! Hapa bara naapa hampati kitu.Watu wa Tanzania bara wameshashtukia chama chenu na hii ni baada ya maneno ya hamad rashid na mnyaa kwa watu wa Tanzania bara.Waliwatukana sana watu wa Tanzania bara.Sasa mimi najiuliza kuichukia Chadema ndio mchukie watu wote wa Tanzania bara? Hakika kura mlizopata Igunga ilikuwa stahili yenu.Utukane wabara halafu uwaombe kura?
 
Unazungumza vitu gani mkuu wangu? Ni wapi katika katiba hiyo kunasema hivyo. Ama unachanganya vitu!... Chadema hawawezi kugombea Ubunge wa ndani wa Zanzibar kwa sababu chama hiki mnakiona ni cha bara na wanaweza tu kushiriki ktk uchaguzi wa Taifa. Na hata kama sheria inasema hivyo mnayo masharti makubwa ambayo hayawezi kuwashirikisha Chadema ktk uchaguzi wa serikali ya Zanzibar. Vyama vya ndani zanzibar vina historia, vina asili na upinzani wa Kizanzibar sio vyama vya demokrasia ya kweli..Kwa kuelewa hivyo, ndio maana Chadema waliungana nanyi toka mwaka 1995 na hata mwaka 2010 Chadema bado Ilikuwa na Seif Hamad sio Dr.Shein - Check your report. Halafu nakuomba list ya wagombea wote wa Urais Zanzibar na vyama vyao...

Halafu ebu wewe nambie.. pamoja na kwamba nampenda sana Dr.Shein lakini huyo alikuwa amejiandisha bara, mkazi wa bara na kisheria hakutakiwa hata kugombea Urais wa Zanzibar lakini kagombea na hamkusema kitu hata baada ya matokeo ya utata kama haya:-
1. DK ALI MOHAMMED SHEIN alipata kura 179,809 ambayo ni 50.1%
2. MAALIM SEIF SHARIF HAMAD 176,338 ambayo ni 49.1% halafu KURA ZILIZOHARIBIKA ni 6109.. kuharibika kura hiyo peke yake ingetakiwa uchaguzi urudiwe maana hapa inaonyesha kuna makosa yamefanyika aidha kwa makusudi ama kutotambuliwa nma inauma kusikia kura yako haikuhesabiwa ati imeharibika..

Sasa kama kweli CUF si CCM B mnataka muitwe vipi ikiwa hamuwezi kuwawakilisha wananchi wennu badala yake mnakuja gawana madaraka. Leo huyo Seif hamad Kimyaa kawaachia kina Mnyaa na Rashid wapige madongo pengine nao watakuja pewa wadhifa wale masalia..

Tatizo lako wewe unachanganya mambo hujibu maswali ya msingi

"Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa serikali ya SUK (vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi) ikiwa vitapata wawakilishi watashiriki kwenye SUK kwa mujibu wa katiba OK nenda soma vizuri katiba ya zanzibar acha ulaghai hapa ndio kazi yeni nyie chdema uwongo na ubinafsi lol..

Au mnawadharau wazenj au mna ajenda yenu chafu..eti chadema hawatakiwa zanzibar ulikuwa unafuatilia kura kweli unajua slaa alipata kura ngapi?? au wale hawakuwa wazanzibar?? acha uwongo mkuu unashusha heshima yako..

Chadema maswali yangu yanabaki yamesimama
a) Je mngepata mbunge wa kuchaguliwa mngekataa kujiunga na SUK kwa mujibu wa katib ya Zanzibar
B) kwanini hamkuungana na nccr kama hamkuwataka CUF???
 
Mkuu Topical,

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi siyo mwana CHADEMA. Ninapojadili hapa, ninajadili hapa sifungwi au kufungamana na siasa za chama chochote.

Tatizo la kwanza kwenye hiyo Katiba unayoiongelea ni kwamba mabadiliko yaliyofanywa ni matokeo ya muafaka kati ya CCM na CUF. Kama chaguzi za Zanzibar zimekuwa zikishirikisha vyama zaidi ya hivyo viwili, kulikoni muafaka ukawa wa vyama viwili tu? Je, vyama vingine havikutakiwa kushirikishwa? Je, walialikwa halafu wakagoma? Kwa hiyo, Katiba unayoisema wewe tayari ina matatizo na sidhani kama utashi wa vyama vingine uliwekwa kwenye hayo mabadiliko.

CUF na NCCR waliungana na ndiyo matokeo ya ile tafsiri ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Lakini ndoa hiyo nayo haikudumu na ndio maana juzi Mkosamali na Kafulila walitoka Bungeni ili wasishiriki mjadala wa Katiba. Buyogela na Machali walibaki na wao waliweka msimamo wao wazi kwamba walikuwa wanapinga mswada huo. Kafulila alikuwa kiongozi kwenye hiyo ndoa ya NCCR na CUF, ilikuwaje akatofautiana na wapinzani wenzake [CUF]?

Mkuu Keil,ndoa ya CUF na NCCR isingedumu kwa sababu ya chuki ya cuf kwa watu wa Tanzania bara.
 
Mimi sichukulii kama ni chuki ya watu wa CUF kwa watu wa Tanzania bara, bali tatizo kubwa ninaloliona hapa ni definition ya upinzani. Huo utata wa definition ya upinzani umejitokeza baada ya muafaka wa CUF na CCM kule Visiwani.

Bunge la 2005 - 2010 hawa watu walikuwa wanakubaliana kwenye mambo mengi, with exception ya Mzee Cheyo alipotofautiana na msimamo wa upinzani na Hamad alimtimua. Cheyo alienda kushitaki kwa Spika, Spika Sam Six akasema hawezi kuingilia maswala ya Kambi ya Upinzani maana yana misimamo yake na kanuni zake. So, kama amekiuka msimamo wa Kambi ya Upinzani, hilo ni kosa lake.

CUF siyo wapinzani kwa sasa bali ni sehemu ya Chama Tawala indirectly kwa kuwa wanaingia kwenye kwenye serikali ya JMT kupitia mlango wa serikali ya Mseto/Umoja ambako lazima wanakuwa consulted na/au wanapewa feedback ya nini kinaendelea jikoni na kwanini kinafanyika.

Mswada unaongelewa ulipopelekwa Bungeni kwa mara kwanza, watu wa CUF Visiwani walisigina/chana mswada huo. Lakini baada ya Maalim Seif kuwekwa sawa na kuhakikishiwa kwamba atapewa kila analohitaji, akawaweka sawa wabunge wake na wote walipokuja Bungeni ni kuimba nyimbo ya NDIYO Mzee.
 
Tatizo lako wewe unachanganya mambo hujibu maswali ya msingi

"Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa serikali ya SUK (vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi) ikiwa vitapata wawakilishi watashiriki kwenye SUK kwa mujibu wa katiba OK nenda soma vizuri katiba ya zanzibar acha ulaghai hapa ndio kazi yeni nyie chdema uwongo na ubinafsi lol..

Au mnawadharau wazenj au mna ajenda yenu chafu..eti chadema hawatakiwa zanzibar ulikuwa unafuatilia kura kweli unajua slaa alipata kura ngapi?? au wale hawakuwa wazanzibar?? acha uwongo mkuu unashusha heshima yako..

Chadema maswali yangu yanabaki yamesimama
a) Je mngepata mbunge wa kuchaguliwa mngekataa kujiunga na SUK kwa mujibu wa katib ya Zanzibar
B) kwanini hamkuungana na nccr kama hamkuwataka CUF???
Mkuu nirahisi kusema vyama vyote vilivyoshiriki vinaweza kupewa nafasi ktk SUK kama hutatazama kwanza kama vyama hivyo vinaruhusiwa kushiriki..Siwalaumu Zanzibar lakini ndio mfumo wenyewe ulivyokuwa mbovu. Jahazi Asilia nakisikia tu Unguja I mean Zanzibar hakipo bara na wala sijawasikia wakishiriki uchaguzi wa bara na vyama vignine kibao. Vivyo hivyo vyama vyetu vya bara sijui kama vinashiriki ktk uchaguzi mdogo wa bunge la Zanzibar kwa sababu kuna kiutamaduni hapa kinachotutenganisha bara na visiwani...Vyama pekee vinavyotamba both side ni CUF na CCM na sasa hivi CUF ndio wako ICU bara kutokana na mfumo mbovu..

Hivyo sio swala la Katiba ya Zanzibar inasema nini bali mfumo mzima wa vyama nchini ni uozo mkubwa. Vyama vyote vinatakiwa kugombea sehemu yoyote ya nchi bila kikwazo cha mgombea kuwa mkazi wa sehemu fulani ama iwe sheria moja pande zote kama nchi moja, lakini huu muungano wa kuwa na serikali mbili za Muungano, moja ya Zanzibar nyingine ya Muungano unaondoa kabisa nafasi kwa bara kuingia Zanzibar lakini rahisi kwa Wazanzibar kuingia bara..

Haya nambie nipe mfano chama gani kimeingia ktk hiyo serikali yenu ya SUK baada ya kushinda uchaguzi wa jimbo...Kutoka Jahazi Asilia nani yuko kwenye serikali...
 
Mkuu Topical,

Kwanza naomba nikiri kwamba mimi siyo mwana CHADEMA. Ninapojadili hapa, ninajadili hapa sifungwi au kufungamana na siasa za chama chochote.

Tatizo la kwanza kwenye hiyo Katiba unayoiongelea ni kwamba mabadiliko yaliyofanywa ni matokeo ya muafaka kati ya CCM na CUF. Kama chaguzi za Zanzibar zimekuwa zikishirikisha vyama zaidi ya hivyo viwili, kulikoni muafaka ukawa wa vyama viwili tu? Je, vyama vingine havikutakiwa kushirikishwa? Je, walialikwa halafu wakagoma? Kwa hiyo, Katiba unayoisema wewe tayari ina matatizo na sidhani kama utashi wa vyama vingine uliwekwa kwenye hayo mabadiliko.

CUF na NCCR waliungana na ndiyo matokeo ya ile tafsiri ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Lakini ndoa hiyo nayo haikudumu na ndio maana juzi Mkosamali na Kafulila walitoka Bungeni ili wasishiriki mjadala wa Katiba. Buyogela na Machali walibaki na wao waliweka msimamo wao wazi kwamba walikuwa wanapinga mswada huo. Kafulila alikuwa kiongozi kwenye hiyo ndoa ya NCCR na CUF, ilikuwaje akatofautiana na wapinzani wenzake [CUF]?

Kwa chadema hawaamini katiba ya zanzibar ambayo inatambua kuwepo kwa serikali ya SUK, ambayo kwa mujibu wa katiba hiyo chama ambacho kitapata wabunge wa kuteuliwa na wananchi kitashiri katika serikali??

Ndio maana nasema chadema ni wanafiki kwakuwa kama hakutaka hayo mabadiliko wasingeshiriki uchaguzi upande wa zanzibar (unajua waliweka wagombea wa ubunge katika majimbo 6?) je wangepata moja wasingeshiri SUK??

Au wanadharau wazenj, au wana wivu na CUF kupata wabunge zenj kupita wao na kukosa kwao hata mbunge moja zenj ndio kisa???
 
Mkuu nirahisi kusema vyama vyote vilivyoshiriki vinaweza kupewa nafasi ktk SUK kama hutatazama kwanza kama vyama hivyo vinaruhusiwa kushiriki..Siwalaumu Zanzibar lakini ndio mfumo wenyewe ulivyokuwa mbovu. Jahazi Asilia nakisikia tu Unguja I mean Zanzibar hakipo bara na wala sijawasikia wakishiriki uchaguzi wa bara na vyama vignine kibao. Vivyo hivyo vyama vyetu vya bara sijui kama vinashiriki ktk uchaguzi mdogo wa bunge la Zanzibar kwa sababu kuna kiutamaduni hapa kinachotutenganisha bara na visiwani...Vyama pekee vinavyotamba both side ni CUF na CCM na sasa hivi CUF ndio wako ICU bara kutokana na mfumo mbovu..

Hivyo sio swala la Katiba ya Zanzibar inasema nini bali mfumo mzima wa vyama nchini ni uozo mkubwa. Vyama vyote vinatakiwa kugombea sehemu yoyote ya nchi bila kikwazo cha mgombea kuwa mkazi wa sehemu fulani ama iwe sheria moja pande zote kama nchi moja, lakini huu muungano wa kuwa na serikali mbili za Muungano, moja ya Zanzibar nyingine ya Muungano unaondoa kabisa nafasi kwa bara kuingia Zanzibar lakini rahisi kwa Wazanzibar kuingia bara..

Haya nambie nipe mfano chama gani kimeingia ktk hiyo serikali yenu ya SUK baada ya kushinda uchaguzi wa jimbo...Kutoka Jahazi Asilia nani yuko kwenye serikali...

Hawakushirikishwa kwasababu hakuna chama kilichoshinda ubunge wa kuchaguliwa na sheria inataka hivyo..

Wakipata mbunge zaidi ya watatu wanashiriki kwenye serikali ya SUK kwa mujibu ya katiba ya ZENJ

Hayo mengine unayoongea ni wivu wa chadema kushindwa ku-parsuade wazanzibar wanakuja kumalizia hasira zao kwa CUF bila sababu

Au ni agent wa kugawa upinzani Tanzania. lol
 
Kwa chadema hawaamini katiba ya zanzibar ambayo inatambua kuwepo kwa serikali ya SUK, ambayo kwa mujibu wa katiba hiyo chama ambacho kitapata wabunge wa kuteuliwa na wananchi kitashiri katika serikali??

Ndio maana nasema chadema ni wanafiki kwakuwa kama hakutaka hayo mabadiliko wasingeshiriki uchaguzi upande wa zanzibar (unajua waliweka wagombea wa ubunge katika majimbo 6?) je wangepata moja wasingeshiri SUK??

Au wanadharau wazenj, au wana wivu na CUF kupata wabunge zenj kupita wao na kukosa kwao hata mbunge moja zenj ndio kisa???
Samahani mkuu wangu hivi hiyo serikali ya SUK ndio nini maana tusiwe tunazungumza vitu wakati mimi sielewi tunazungumzia kitu gani. Nijuavyo mimi kuna Serikali ya Mapinduzi (SMZ) na kusema kweli nimeshindwa kuipata maana ya neno hili SUK...Naomba darsa kwanza kabla hatujaendelea.
 
Back
Top Bottom