CUF wampiga mkwara Diwani wao kuacha kuongozana na Mgombea wa CHADEMA Salum Mwalimu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Katibu wa CUF Ally Mkandu amemtaka Diwani wa kata ya mzimuni Ally Kondo kuacha kuongozana na mgombea wa Chadema Salum Mwalimu.

Amesema kwamba diwani huo asipoacha kuongozana na mgombea huyo chama kitamchukulia hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na kutumia katiba kumvua uanachama.

Amesema hayo leo Februari 5 wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Kinondoni Rajabu Salum.

Mkurugenzi wa Habari na uenezi Abduli Kambaya amewaambia wakazi wa mzimuni kwamba mwaka 2015 CUF ilipata ushindi kwa kufanya kazi kubwa kwenye kata ya mzimuni.

‘’Leo anajitokeza mtu anawashawishi mumchague mgombea mwingine inauma sana’’amesema Kambaya.

Naye mgombea Rajabu Salum amesema kwamba ‘’Mimi nilikuwa meneja kampeni wa mgombea wa huyu aliyehamia CCM( Maulid Mtulia) hivyo mimi nilikuwa mwalimu wake’’

Amesema mgombea huyo sasa ameanza kutumia sera za Cuf kwenye majukwaa.

‘’CCM na Chadema wameahidi kunipa kura kwa kuwa wagombea wao hawakushiriki kwenye kura za maoni ‘’amesema Salum
 
Katibu wa CUF Ally Mkandu amemtaka Diwani wa kata ya mzimuni Ally Kondo kuacha kuongozana na mgombea wa Chadema Salum Mwalimu.
Amesema kwamba diwani huo asipoacha kuongozana na mgombea huyo chama kitamchukulia hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na kutumia katiba kumvua uanachama.

Amesema hayo leo Februari 5 wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Kinondoni Rajabu Salum.
Mkurugenzi wa Habari na uenezi Abduli Kambaya amewaambia wakazi wa mzimuni kwamba mwaka 2015 CUF ilipata ushindi kwa kufanya kazi kubwa kwenye kata ya mzimuni.

‘’Leo anajitokeza mtu anawashawishi mumchague mgombea mwingine inauma sana’’amesema Kambaya
Naye mgombea Rajabu Salum amesema kwamba ‘’Mimi nilikuwa meneja kampeni wa mgombea wa huyu aliyehamia CCM( Maulid Mtulia) hivyo mimi nilikuwa mwalimu wake’’

Amesema mgombea huyo sasa ameanza kutumia sera za Cuf kwenye majukwaa.
‘’CCM na Chadema wameahidi kunipa kura kwa kuwa wagombea wao hawakushiriki kwenye kura za maoni ‘’amesema Salum
Kumbe alikua mwalimu wke kumwambia alambe pesa za ccm,cuf macho kodo ni ccm b
 
Back
Top Bottom