figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,806
- 63,244
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?
Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm
Safi sana
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?
Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm
Safi sana
Nyie jimalizeni kwanza wenyewe halafu sisi tutakuja kumalizia tu...Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?
Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm
Safi sana
hapo safi sana..
Kuimaliza cuf ni kuimaliza ccm indirectly. Mshirika wenu akishamalizika sasa tutabaki kuwabomoa nyie ccm directly!
kwa sababu cuf na ccm ni mke na mme, cdm itaangamiza vyote kwa pamoja. hiyo siyo siri, kwani ww hujui kama cuf ndiyo ccm?Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?
Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm
Safi sana
we raia upo..