Lipumba kwenye Clip anasema wazi kuwa tuliamua kumsaidia mwenzetu kwa maana ya mwislamu, hakuna kitu hapo CUF bila ukawa ccm haitahisi kama hata palikuwa na wapinzania ktk uchaguzi ujao acheni hizo...........
kwa hiyo limekuwa swala la vyama kuridhika..Hawa sii walisema UKAWA ni watetezi wa Katina ya wananchi na wanaungana kugombea kwa maslahi ya wananchi?
Mkuu nilikwambieni mapema hapo hakuna kitu, kazi ilikuwa kuimaliza Chadema hivi sasa hata wakiweka mgombea Urais haitasaidia kitu imeshakuwa kama NCCR 1995 au CUF 2000...