Cuf ngangari...haki sawa kwa wote!
Najua wanajamii mnaaminishwa kwamba CUF ni wabinafsi jambo ambalo sio sahihi. Katika UKAWA cuf ndicho chama pekee chenye kukubalika pande zote za muungano. Kimantiki ni cuf pekee wenye uwezo wa kupata Mgombea na makamu wake katika muungano.
Chadema wapo bara hawatapata mgombea mwenza zanzibar. wanalazimisha cuf wamtoe mwanachama hai mmoja aingie chadema.. why tufanye hivi wakati cut tarari anafiti vigezo?
Mnasema mmetuachia zanzibar ... hii sio kweli, Zanzibar ukiondoa magamba tunaobaki ni cuf.... so kutubania bara ni sawa na kuturudisha nyuma tubaki kisiwani tu...
HAKIIII SAWAAAA
CUF hamna Kitu kabisa.

Wasaka tonge-Zittochadema wanataka wasikilizwe wao tu
Swali ambalo CUF wanatakiwa watujibu watanzania ni kwanini walikuwa wepesi kukubali kuungana na CCM kuunda serekali ya mseto Zanzibar na kuwa wepesi wa kutaka kujitoa kwenye umoja wa UKAWA ambapo ingekuwa rahisi kuiondoa CCM madarakani?.