Cuf taabani

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Viongozi wa cuf mkoani mtwara wahofia kupoteza wanachama wao kutokana na mikutano ya chadema inayoendelea mkoani hapo.

Source: majira
 
peoplez pawa kama moto wa petrol teketeza kila kitu itakachokikuta ndani ya nyumba..sio bibi wala bwana..chezea NGUVU YA UMMA WEWE
 
Walisema chadema ni cha kaskazini sasa hata mke mkubwa wa ccm (cuf) wameanza kubwabwaja bado mke mdogo (nccr)
 
Hongera m4c kwa kuonyesha njia ya ukombozi wa pili kutoka kwa mkoloni mweusi
 
Kwenye msako wa nyani, ngedere hawezi kusalimika!
 
CDM kuweni na huruma jamani! Watu watakimbia nchi sasa hivi! Ohoo!
 
Hahahaha Holly Marry. Yaani watu matumbo yanawawaka moto
 
Nyinyiem,hawana chao tena,wanaishi kwa matumaini tu!
 
CCM A" na CCM B" wote lazima wafe NATURAL death' Moto wa M4C si mchezo hakuna cha ukanda
wala ukabila,wala udini" CDM imeachiliwa nyakati hizi kwa ukombozi wa Tanzania yetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…