CUF sasa yameguka rasmi Pemba

hilohilo moja linatosha,siku zinavyosonga na ww utapata akili,ni pale utakapo jiulza swali na ukapata jibu.kitendo cha seif kuwakataza wafuasi wake wasiandikiswe wakati hakuwa na nia yakususia uchaguzi alikua na nia gani?
 
jk hamjui seif,jk anamjua shein.nani anakudanganya kama seif anajulikana! kama anajulikana mwambie awa ambie masheha wawape vitambulisho wafuasi wake ili waka andikishwe
 

Mkuu umenena vema,hawa watu hawana shukrani kabisa. Laiti angejua kuwa Abeid Karume ndie aliempigia magoti mwalimu Nyerere akimuomba waungane kwa kuogopa kupinduliwa na waarabu wala asingeropoka hovyo kiasi hicho. Mimi ningepewa maamuzi ya kuvunja muungano ningeuvunja maramoja. Kwanza hauna umuhimu wala msaada wowote kwetu sisi Tanzania bara zaidi ya kubeba mizigo tu. Umeme ambao unatoka bara tunauziwa bei juu, lakini zanzibar bei nafuu. Zanzibar mbunge wao anawakilisha watu wasiozidi 4000, huku ni kuongeza matumizi serikalini. Malalamiko kila siku ya muungano hayaishi mara tunanyonywa kwa lipi? Jamani tuvunje mahusiano nao wanatupotezea muda tu na kutuletea tamaduni zao mbaya kama ushoga,ukainilaini na nyinginezo.
 
Sasa siku Prof Lipumba anapotua uwanja wa pale Dar je wananchi tukampokee kwa bendera za KAFU Orijino, KAFU-Maalim Seif au KAFU-ADC ile mpya ya kwenye bahasha?

Tukampokee na bendera ya chama I MEAN YA CHADEMA.
 
Ni vema tuwe makini na njama za kisiasa na wala tusifurahie kifo cha cough maana ni anguko la democrasia na ushindi wa
unyapara wa ccm.Ni bora tungemrestisha seif sharif ili kuona nguvu mpya kwa changamoto mpya za kiasa
Kwa nn cough wasibadili uongozi kitaifa kama cdm?
 
Hakiiiii!!!haki sawa kwa naniii?kwa woteee.......!nalikumbuka lisloga lao.rest in peace C.U.F
 
Hakiiii........!sawaaaa....!haki sawa kwa nani? kwa woteeeeee!!, cuf ngangali!! Jino kwa jino!! R.I.P cuf.
 
kwa heri chama cha wananchi wa cough, buriani KAFU , ukamsalimie mwenzio aliye tangulia CCJ na tutakuzika rasmi 2015
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida tawi la wawi babarani muda huu viongozi wa wilaya ya chake chake wametolewa katika kikao hicho kwa matusi na kuambiwa sasa ni kambi ya ADC

Bado kidogo Malimu Selfish afukuzwe pale ikulu manakake yeye anaatamia tu pale kwenye yale masofa na kunywa ghahawa tu hana msaada wowote wala wazo la kuleta maendeleo. Na vile vizee vya kiswahili kule bungeni vinakera sana vinavyoshabikia magamba. Hamad Rashid ni kidume
 

Inahitajika Sheria ya kunyonga hadharani wabaguzi Kama wewe!
 
Mimi nimeshakujua wewe kijana wala hunipi tabu tena!! Kuendelea kubishana na wewe ni kupoteza muda bure! Vipi utandelea kubaki CCM au utajiunga na chama kipya cha ADC? Mganga njaa.

Matamanio Yako ya Pemba huru (sio zanzibar) Kamwe hayatotimia kwani wenye upeo finyu na chuki iliyogubikwa na ubaguzi uliokithiri ndani yake Kama wewe hawana nafasi katika nchi hii.
Na hakika dhambi hii itakumaliza wewe na hao wenzako hasa wa CUF wenye fikra Za aina Yako!
 

na bado, mwisho wa ubaya ni aibu
 

Hapo kwenye red: Kuwa 'mzanzibari' au 'mpemba'? Huko Zanzibar si kilishanuaka kwa watu kibao kujitoa CUF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…