singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Ikungi,
Hili haliwezi kuwa kweli.
Historia ya siasa Zanzibar ni ya vyama viwili vikubwa vyenye nguvu.
Hivyo vyama uchaguzi uliopita hawakuweza kupata hata 1% ya kura.
Hali ikiwa ndiyo hii hivyo nani atashughulishwa na vyama hivyo ambavyo
havina wapiga kura?
KAMA Hauna Evidence Ya Hayo Usemayo, Busara Ungesema Ni Tetesi Tu!!! Sio Kuja Kuleta Masuala Yasio Na Evidence!!!
Mara ya mwisho CUF kususia hakuna chama kingine kilipata hata Sheha,vyote vilichukuliwa na ccmcuf wasiposhiriki uchaguzi ni fursa kupatikana chama mbadala ADC. Kumbuka makaburi yamejaa mashujaa lkn mashujaa wapya wanazaliwa kila kukicha.
Propaganda za ccm maji yapo shingoni sasa, ADC wenyewe Unguja na Pemba wana kura 7 tu., CUF ni chama kikubwa ni Taasisi kubwa haiwez kubabaishwa ni wanasiasa uchwara kama HR., alitumia fedha nyingi kutoka CCM A@kwenda CCM B ADC ili kupunguza kura za maalim seif amepata aibu kubwa, kura 7 tu.