CUF: operation zinduka2 kuanzia TABORA.

in and out

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
69
Reaction score
6
chama cha wanainchi cuf kitazindua kampeni zake za kueneza mtandao wa chama mkoani tabora mwezi huu wakazi wa tabora mjini na viunga vyake wakae tayari kuupokea ugeni wa kitaifa kuanzia sasa. kwa mujibu wa baraza kuu.
 
Wasiende Igunga jamani
 
Wakati wanabeza maandamano na mikutano ya CDM walifikiri siasa ni kufuga ndevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…