Cuf ngangari kwisha- kijambo cha wiki mlini tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf ngangari kwisha- kijambo cha wiki mlini tv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Jun 12, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Kijambo cha leo kimebeza msimamo wa CUF ya leo na ile ya enzi hizo iliyojulikana Ngangari imeonyesha vile waliweza kufanya maandamano bila kujali polisi walijiita Ngunguri enzi hizo et leo imenaonekana imekuwa ndembendembe si lolote si chochote, my take cuf imepoteza dira hawezi kutetea kile wanacho kiamini hakitegemeki tena machoni mwa wengi, Kwenye gaziti la Mwanahalisi Kubenea ameeleza tatizo la Cuf ni nini! Namshauri mtatiro aipitie makala hiyo na ajiangalie position yake na matarijio yake.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Wanamaanisha CUF nyumba ndogo ya CCM?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Maandamano yanaahirishwa baada ya Prof. Lipumba kuombwa kufanya hivyo na Mh. Pinda! Kisa kupisha ugeni wa Hillary Clinton maana leo ametembelea mitambo ya Dowans - Symbon! Wakati huo huo walishakatazwa na polisi wasiandamane na Pinda anawaomba wasiandamane!
   
 4. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Bwana Kurunzi naamini unamaanisha MLIMANI TV sio MLINI TV. kama vipi rekebisha hiyo title yako. Tatizo wengine tuko mikoani hatuoni Mlimani TV tunaisikia tu humu JF hayo mambo mazuri mnajua yanawahusu wa Dar peke yake sio?? Kama vipi fanyeni makeke basi hiyo TV ifike huku Tanganyika huenda ndio ikawa TV yetu ya umma maana TBC imeshindwa kazi ni TV ya Chama na serekari yake
   
Loading...