CUF ndiyo basi tena, CHADEMA wamewaua kifo kibaya sana

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,949
4,638
VIGOGO wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wamefanikiwa mikakati yao ya kukifuta katika historia ya siasa CUF baada ya kuwashauri wasishiriki katika uchaguzi wa marudio Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika zilizotoka ndani ya CHADEMA zinaeleza kuwa mpango huo ulianza kupangwa mara baada ya kufutwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Octobar 25 2015, ambapo viongozi wa chama hicho walikutana kwa siri Novemba 6 mwaka 2015 ktk Hoteli moja ya kifahari jiji Arusha na kufikia maazimio ya kuibomoa CUF Z'bar ili CHADEMA ipate nafasi ya kujiimarisha.

Chanzo hicho kimesema baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu mkuu wa CUF kuanza kusaka kwa nguvu nafasi ya Urais alikuwa akikutana na ushauri tofauti kutoka kwa chama rafiki cha CHADEMA wengi wao wakimshauri hasishiriki ktk uchaguzi huo kwani kufanya hivyo kutajenga ushawishi kwa taasisi za kimataifa kuja kuingilia kati na kuhoji uhalali wa uchaguzi huo.

Baada ya Maalim Seif kupewa ushauri huo aliubeba bila ya kutafakari athari yake licha ya kuwepo kwa baadhi ya hoja na nasaha nyingi zilizojengwa na baadhi ya wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na udiwani katika uchaguzi wa 2015 waliokuwa wakitaka kusshiriki ili kutetea nafasi zao lakini walizimwa kama mshumaa huku wakitishiwa kufukuzwa ndani ya chama hicho.

USHAURI KUTOKA KWA VIONGOZI WA CUF.

Baadhi ya Viongozi wa CUF akiwemo Mshauri mkuu wa masuala ya kisiasa Mansour Yusuf Himid alimwambia Maalim Seif kwamba kuwa anatakiwa kukubali kurudi katika uchaguzi wa marudio ili kulinda nafasi ya Makamo wa kwanza kwa lengo la kujipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Kwa mujibu wa maelezo ya chanzo hicho baada ya Maalim Seif kupewa ushauri huo alijibu kwamba yeye akiwa kama kiongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho hatakiwi kupingwa na mtu yeyote.

WAWAKILISHI NA MADIWANI WAMTUPIA LAWAMA MAALIM SEIF.

Baadhi ya viongozi waliogombea katika uchaguzi uliofutwa wa chama hicho wameendelea kutoa shutuma na kulaani kitendo cha Maalim Seif kufuata ushauri wa Viongozi wa CHADEMA na kususia uchaguzi wa marudio zbar , na kudai kuwa CUF imekufa kisiasa.

Aidha miongoni mwa viongozi hao wameeleza kwamba kutokana na udikteta uliopo katika CUF, viongozi hao wanajiandaa kurejesha kadi za chama hicho na kujiunga na CCM kwani ndio chama pekee kinachoongozwa kwa misingi ya demokrasia.

VIGOGO WA CHADEMA WAKESHA WAKISHEREKEA USHINDI WA KUIANGAMIZA CUF Z'BAR.

Viongozi wakuu wa CHADEMA usiku wa kuamkia jana wamefanya sherehe kubwa katika hoteli moja iliyopo jijini mwanza wakisherekea ushindi wa kufanikiwa kwa mikakati yao ya kuifuta CUF katika maisha ya kisiasa visiwani Zanzibar huku wakijipanga kuimarisha chama hicho Zbar ili kiweze kurithi nafasi ya makamo kwanza wa rais kama GNU itakuwa imeendelea kuwepo.

" CUF wamekwisha kilichobaki kwetu ni kuanza kuimarisha chama chetu Zanzibar kwani Maalim Seif hana chake tena.

Yaani sikutegemea kama Maalim Seif atakubali ushauri wetu kirahisi na kutupatia sisi nafasi ya kujiimarisha kisiasa visiwani Zanzibar," Amesema Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA na kuwambia viongozi mbali mbali wa chama hicho wanywe na kuburudika kufurahia mafanikio hayo.
 
Msidhani propaganda zenu zitasaidia kuwaunganisha wa Zanzibar. Adui makubwa wa Zanzibar ni ccm.Cuf itaendelea kuwa mioyoni mwa wazanzibar. Ipo siku haki itapatikana
Kwani hapa kilichoelezwa ni propaganda ama uhalisia?
 
mh? wewe bila shaka utakuwa ni mmojawapo wa wale mazombi wa ccm kule zanzibar.nani anaweza kuamini ujinga ulioandika?
 
Msidhani propaganda zenu zitasaidia kuwaunganisha wa Zanzibar. Adui makubwa wa Zanzibar ni ccm.Cuf itaendelea kuwa mioyoni mwa wazanzibar. Ipo siku haki itapatikana
Wazanzibar gani ambao unawazungumzia ambao cuf ipo mioyoni mwao.
 
Kwa mawazo yako unadhani kuwa CUF wote hawana akili bali wanatumia akili ya CHADEMA! Muda si mrefu utabadili fikra hiyo. Mchezo bado haujaanza!!!
 
Dume zima linajikunja kuandika uongo na kuutoa mbele za watu namna hii?
Kweli ile tabia inasambaa kwa kasi
 
Kwa taarifa yako muungano wa CDM Na cuf ume inufaisha sana CUF kabla ya uchaguzi mkuu 2015 Cuf walikuwa wame pata majimbo mawili tu Lindi mjini Na Kilwa kusini baada ya uchaguzi cuf wana majimbo mengi huku bara baadhi Ni haya Kilwa kaskazini Na kusini,liwale,kaliua,tandahimba ,Mtwara mjini,temeke,kinondoni ,tanga mjini nk
 
Hakika nawaambia, ndani ya CUF kuna figisufugisu. Wagombea Uwakilishi toka Pemba wana kinyongo kikuu kwa kunyimwa wasaa wa kuwa wawakilishi kwa sababu ya mtu mmoja
 
Naona hii chadema inawatesa Sana huko Lumumba kiwewe tuu.
Sasa mmekipa kazi ya kuwa
Chama cha ushauri kwa vyama
Vya siasa Tanzania!!

Kwahiyo hata J.P.M. alipo waambi
a CCM iwe tayari kukubali
Matokeo yeyote ya umeya wa jiji
la Dar mtasema ni Chadema wali
mshauri vibaya Mh.Rais.

Hebu punguzeni kidogo vituko
huko Lumumba wenzenu tufanye
kazi kidogo mnatuchekesha mnoo
 
VIGOGO wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wamefanikiwa mikakati yao ya kukifuta katika historia ya siasa CUF baada ya kuwashauri wasishiriki katika uchaguzi wa marudio Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika zilizotoka ndani ya CHADEMA zinaeleza kuwa mpango huo ulianza kupangwa mara baada ya kufutwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Octobar 25 2015, ambapo viongozi wa chama hicho walikutana kwa siri Novemba 6 mwaka 2015 ktk Hoteli moja ya kifahari jiji Arusha na kufikia maazimio ya kuibomoa CUF Z'bar ili CHADEMA ipate nafasi ya kujiimarisha.

Chanzo hicho kimesema baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu mkuu wa CUF kuanza kusaka kwa nguvu nafasi ya Urais alikuwa akikutana na ushauri tofauti kutoka kwa chama rafiki cha CHADEMA wengi wao wakimshauri hasishiriki ktk uchaguzi huo kwani kufanya hivyo kutajenga ushawishi kwa taasisi za kimataifa kuja kuingilia kati na kuhoji uhalali wa uchaguzi huo.

Baada ya Maalim Seif kupewa ushauri huo aliubeba bila ya kutafakari athari yake licha ya kuwepo kwa baadhi ya hoja na nasaha nyingi zilizojengwa na baadhi ya wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na udiwani katika uchaguzi wa 2015 waliokuwa wakitaka kusshiriki ili kutetea nafasi zao lakini walizimwa kama mshumaa huku wakitishiwa kufukuzwa ndani ya chama hicho.

USHAURI KUTOKA KWA VIONGOZI WA CUF.

Baadhi ya Viongozi wa CUF akiwemo Mshauri mkuu wa masuala ya kisiasa Mansour Yusuf Himid alimwambia Maalim Seif kwamba kuwa anatakiwa kukubali kurudi katika uchaguzi wa marudio ili kulinda nafasi ya Makamo wa kwanza kwa lengo la kujipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Kwa mujibu wa maelezo ya chanzo hicho baada ya Maalim Seif kupewa ushauri huo alijibu kwamba yeye akiwa kama kiongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho hatakiwi kupingwa na mtu yeyote.

WAWAKILISHI NA MADIWANI WAMTUPIA LAWAMA MAALIM SEIF.

Baadhi ya viongozi waliogombea katika uchaguzi uliofutwa wa chama hicho wameendelea kutoa shutuma na kulaani kitendo cha Maalim Seif kufuata ushauri wa Viongozi wa CHADEMA na kususia uchaguzi wa marudio zbar , na kudai kuwa CUF imekufa kisiasa.

Aidha miongoni mwa viongozi hao wameeleza kwamba kutokana na udikteta uliopo katika CUF, viongozi hao wanajiandaa kurejesha kadi za chama hicho na kujiunga na CCM kwani ndio chama pekee kinachoongozwa kwa misingi ya demokrasia.

VIGOGO WA CHADEMA WAKESHA WAKISHEREKEA USHINDI WA KUIANGAMIZA CUF Z'BAR.

Viongozi wakuu wa CHADEMA usiku wa kuamkia jana wamefanya sherehe kubwa katika hoteli moja iliyopo jijini mwanza wakisherekea ushindi wa kufanikiwa kwa mikakati yao ya kuifuta CUF katika maisha ya kisiasa visiwani Zanzibar huku wakijipanga kuimarisha chama hicho Zbar ili kiweze kurithi nafasi ya makamo kwanza wa rais kama GNU itakuwa imeendelea kuwepo.

" CUF wamekwisha kilichobaki kwetu ni kuanza kuimarisha chama chetu Zanzibar kwani Maalim Seif hana chake tena.

Yaani sikutegemea kama Maalim Seif atakubali ushauri wetu kirahisi na kutupatia sisi nafasi ya kujiimarisha kisiasa visiwani Zanzibar," Amesema Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA na kuwambia viongozi mbali mbali wa chama hicho wanywe na kuburudika kufurahia mafanikio hayo.
ushoga hautakaa uishe dunia hii maana mleta mada ana dalili zote za kishoga!
 
We ni mhuni na mchochezi.Si walifanya kikao chao cha baraza kuu na kuamua kuto shiriki?CUF haifi kwa uhuni wenu huo
 
Back
Top Bottom