Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Naona wamepita msafara wao muda mfupi tu uliopita ukiwa mdogo sana kiasi ambacho haijazoeleka hapa ukilinganisha na nyakati zilizopita walipokuwa wakitikisa mji kwa maandamano makubwa.
Ngoja tuisubiri hiyo jioni tuone watakuwa na yapi!
Wana mageuzi kazi tunayo, ila wakati mwingine inawezekana kutoa taswira ya kitu kwa jinsi utakavyo. Unaweza chagua pa kupiga picha ili kutoa kile unachokitaka na si ukweli uliojiri.
hizo ndio siasa. Vita ya panzi furaha ya.......................Mwaka huu tutasikia mengi na kuyaona mengi mwisho wake CCM itazidi kutawala na kutugandamiza daima
Nimekuwa kwenye mkutano kwa muda mfupi sana. nimesikia mambo kidogo tu.[COLOR="Black"]Nimebahatika kuwa Bukoba takribani wiki mbili sasa na huo msafara nimeuona. Hapa Bukoba hawa watu hawana chama ila wana watu wao. Kila aendako wanaye, ukweli CUF hapa Bukoba wamefulia, huyu Bwana mkubwa Lipumba angesubiri hili wimbi lipite lakini kama amependa kupima upepo sawa.
bahati mbaya sitapata nafasi ya kuhudhuria mkutano wake.[/COLOR]
[COLOR="Black"]Nimebahatika kuwa Bukoba takribani wiki mbili sasa na huo msafara nimeuona. Hapa Bukoba hawa watu hawana chama ila wana watu wao. Kila aendako wanaye, ukweli CUF hapa Bukoba wamefulia, huyu Bwana mkubwa Lipumba angesubiri hili wimbi lipite lakini kama amependa kupima upepo sawa.
bahati mbaya sitapata nafasi ya kuhudhuria mkutano wake.[/COLOR]
Na si rahisi kukataa bila kupitia vyama vya siasa sijui kama unaelewa hili? au kwa makusudi unajaribu kulifumbia macho?Hii ndio siasa za watanzania nakumbuka enzi ya NCCR Mageuzi walipopotea wakaibuka CUF na wameanza kupotea wanaibika CHADEMA, OMBI kwa watanzania wenzangu tusiwe na SIASA za kushabikia chama kama SIMBA na YANGA, sisi tunachotakiwa kuwakataa wanaiharibu nchi yetu,