CUF nao wana mambo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF nao wana mambo!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Oct 17, 2010.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Jana cuf walikuwa na mkutano wao maeneo ya kigogo luanga kwa bit-kaenga, huwa mara zote wanatoa upupu kwenye vichwa vya watu kuhusu ccm, wanaichachafya sana ccm....sasa jana nilicheka kwa hiki kioja, mara zote wanamshutumu mgombea udiwani ccm kata ya hapa luanga ni mlevi kupindukia, kila siku anarudishwa kwao hajitambui, ni malaya kupindukia na alishampaga mimba mtoto wa shule....sasa jana walikuja na ushahidi wa ile picha ya huyo mtoto ambae mgombea wa ccm alimpa mimba na aliachishwa masomo lakini ccm walihonga kwa mwalimu mkuu na huyo mtoto akarudi shule baada ya kujifungua.....vituko uchaguzi wa mwaka huu...mh yangu macho
   
Loading...