Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
Hili ilikuwaje CHADEMA ikaungana na "CCM B?"
Naomba niwataadhalishe cuf na nccr kujihadhali sana na chadema. Kuna haja ya vyama hv viwili kuangalia upya mahustiano yao upya na cdm maana cdm ni chama kilichobobea ktk siasa za kususia, kejeli
Cuf na nccr ndo vyama ambavyo vilikuwa vimebaki vya upinzan vnafanya siasa za upinzani kistaarabu lakn muungano wao na cdm utawacost. Nawaasa watafakari haraka na wachukue hatua vingnevyo watajijingea pcha mbaya kwa watanzania na ndo utakuwa mwsho wa upinzan tanzania
Acha uongo we -------- kweli, kipindi vyama hivi vilikuwa havina dhamira ya kuungana wapambe kama wewe mulirarama eti wapinzani wasipoungana hawawezi kuitoa CCM madarakani, leo wameamua kuja Pamoja kama mulivyotaka huko nyuma hooo mara cuf mara Nccr jiangalieni, basi baana nadiriki kukubali msemo huu kwamba inchi hii imelaniwa.Naanza kukubali neno vigeugeu inchi wakiongozwa na rais wao kama kigeu geu number moja basi na watu wake ni hivo hivo.
Chadegongo aka Chadema ni genge la wahalifu Tanzania
Chadegongo aka Chadema ni genge la wahalifu Tanzania
Hili ilikuwaje CHADEMA ikaungana na "CCM B?"
Mlifikiri watatengana milele sito? Sasa wameungana.
Mlifikiri hawataelewana milele sasa wanaelewana.
Kilichobaki kwenu sasa ni majungu na umbea tu,hamna lolote la maana.
Hizi ni siasa za,kutaka kuwatenganisha tu,na hamta fanikiwa milele