CUF na CCM Zanzibar wana ajenda ya siri

CUF na CCM Zanzibar wana ajenda ya siri

Viva zanzibar. Aluta continua. Viva jf.
 
Mbunge huku bara anaongoza jimbo kubwa sana wakati ZNZ Mbunge zenji anaongoza kijisehemu kidogo tu na imepelekea zenji Kuwa na wabunge wengi ktk Eneo Dogo huku wabunge wa Zenji wakivuna posho mjengoni Dodoma lakini wabunge wa Bara hawawezi kuvuna posho zenji cha ajabu Taita kubwa Yaani Bara hawana tatizo na muungano ingawa wao ndio wachangia gharama kubwa kuendesha kuendesha Nchi zote mbili . Lakini wazenji wengi hawapendi muungano pasipo kutathimini athali zake endapo muungano utavunjika .
 
Back
Top Bottom