CUF: Maandamano yetu yako pale pale

CUF: Maandamano yetu yako pale pale

Kura zake si alisema alimpa maana ni mdini mwenzie, sasa haya ni maandamano au ni kusalimiana na swahiba ,
Kweli wajinga ndio waliwao
 
kuna vitu huwa wanaviandika wafuasi wa chama flani humu jukwaani vitasababisha chama chao kukosa kura za waumini wa dini flani kwenye uchaguzi ujao
 
Ok maandamano yapo palepale!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1374258884582.jpg
    uploadfromtaptalk1374258884582.jpg
    40.4 KB · Views: 41
leo nimemwona lipumba ikulu magogoni akiwa na fastjet sijui alifuata nini huyu kweli prof njaa RIP CCM A AND B.
 
Back
Top Bottom