chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Akizungumza atika ripoti ya uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya dola dhidi ya upinzani 2015/2016 naibu katibu mkuu CUF Nassoro Mazrui amesema chama hicho baada ya kuzindua ripoti hiyo kimepanga kuchukua hatua tano ikiwepo ni pamaoja na kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya waziri wa mambo ya ndani pamoja na mkuu wa jeshi la polisi kwa ukiukwaji wa haki za binadamu