in and out
Member
- Jun 30, 2011
- 69
- 6
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini prof lipumba na maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
Mkuu CDM haiwezi kushirikiana na mke wa mtu
kampeni za kanisani tumeona uchaguzi mkuu 2010tatizo hapo ni cdm kuchanganya siasa na dini
duh! Chadema jitafakarini.cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
mbona katibu wenu mkuu anashirikiana mambo ya kikubwa na mke wa mtu.Angalia domo lako waweza kutukana au kukashifu wazee wako
Kejeli, ubaguzi na utoto wa wafuasi wa CDM umenifanya nikichukie chama hiki kuliko mtoa roho!
dua za vinega hizo,cuf bado ngangari.Umeona mapokezi ya profesa wa ukweli hadi mzinzi naye kaenda kujipitisha aonekaneMarehemu CUF ameacha mume CCM na mtoto ADC.Rest in Peace CUF.
mbona katibu wenu mkuu anashirikiana mambo ya kikubwa na mke wa mtu.Angalia domo lako waweza kutukana au kukashifu wazee wako
dua za vinega hizo,cuf bado ngangari.Umeona mapokezi ya profesa wa ukweli hadi mzinzi naye kaenda kujipitisha aonekane