Cuf inakufa kifo chema

Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMA
2015. Udini,udini,udini
 
Na chadema itakufa kwa ukabila
 

Aaa wapi,nijuavyo jukwaa kina sheria na mojawapo kutotoa matusi......ukweli unauma
 

Mkuu Ngongo
Ni kweli kabisa kwamba Arusha City Cafe hakana hadhi ya kuwa na lile jina, na pia ilikuwa kijiwe cha CCM wakati wa kampeni. Lakini sasa kwa kuwa vyama hivi viwili CCM na CUF ni ndugu, wameona ndugu zetu CUF nao waitumie kile kijiwe kuiangamiza CUF kama kilivyotumika kuiangamiza CCM hapa Arusha.
CUF itakufa kifo kitakatifu kwakutumia udini kama mtaji.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…