CUF imekufa bara, CHADEMA inazidi kuimarika

CUF imekufa bara, CHADEMA inazidi kuimarika

We Kilaza kweli yaani ugaragazwe na CCM kibao umgeuzie CUF!!! tena hakuna kata muhimu kuliko nyingine zote ni muhimu kwa chama makini na chenye kujali maslahi ya wananchi! ubaguzi mnaoonyesha Chadema hata ktk kata ipi ni muhimu na ipi si muhimu itazidi kuwagharimu!

Matokeo kwa CDM ni mazuri sana kwa kutazama idadi ya kura walizopata na kwa kuzingatia pia Kuwa CDM ni chama cha vijana na kwa sasa (currently) vijana wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura. Uchaguzi huu ni sampuli nzuri ya keonyesha kuwa mwakani ccm wasipotumia nguvu za dola kitakuwa chama cha upinzani. HONGERENI CDM.
 
Bahati nzuri tume ya uchaguzi wamesema hatutatapiga kura za maoni kwa katiba mpya kabla ya kuandikishwa upya kwa wapigakura wote. Ndio kiama kwa magamba.
 
POLISI imeibeba sana CHADEMA kata za sombetini na kiboroloni
Matokeo ya kiboroloni yaliesabiwa nyumbani kwa Ndesa na Sombetini kwa Lema au hebu toa maelezo wanavyobebwa?
 
Matokeo ya kiboroloni yaliesabiwa nyumbani kwa Ndesa na Sombetini kwa Lema au hebu toa maelezo wanavyobebwa?

kwa hiyo zile kata 24 za CCM kura zilihesabiwa kwa kinana? MACHADEMA ni wahuni watupu
 
CUF ipo ,inawaachia mpira ili tuone hiyo people's power kama mnaweza angalau kuiitisha ,usicheze na wanangangari wapo na wanatazama mchezo kati yenu na ccm :israel:
 
Back
Top Bottom