CUF imekufa bara, CHADEMA inazidi kuimarika

MsakaGamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
392
Reaction score
141
Ni dhahiri kwa matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani chama cha CUF kinaendelea kujifuta kwenye siasa za Tanzania bara. kwenye kata kilicho shiriki kimepata kura chache sana.

CCM haina habari tena na CUF, cuf nayo maskini ya Mungu imejichokea zake na iko taabani. mchuano umebaki kati ya chadema na ccm. na mchuano huu wa chadema na ccm nao upo kwa kuwa ccm inabebwa sana na dola na hakuna level playing field.

kama uchaguzi unafanyika bila kuingiliwa na dola hakika leo hii wenza wa cuf nao wangekuwa kama cuf. cuf manakufa ccm wanachekelea.
 
hata zanziar bado wana hali tete rejea kura walizopata Kiembesamaki juzi
 
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru
na daftari la kupiga kura.
 
Mbaazi ikikosa maua.... Na mtazidi kuangukia pua daima
 
Ni dhahiri kwa matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani chama cha CUF kinaendelea kujifuta kwenye siasa za Tanzania bara. kwenye kata kilicho shiriki kimepata kura chache sana.

CCM haina habari tena na CUF, cuf nayo maskini ya Mungu imejichokea zake na iko taabani. mchuano umebaki kati ya chadema na ccm. na mchuano huu wa chadema na ccm nao upo kwa kuwa ccm inabebwa sana na dola na hakuna level playing field.

kama uchaguzi unafanyika bila kuingiliwa na dola hakika leo hii wenza wa cuf nao wangekuwa kama cuf. cuf manakufa ccm wanachekelea.

Tatizo la chadema ni chama cha vurugu, kauli za matusi, shari na mauwaji
 
Huu ushindi wa kubebwa na polisi pamoja na NEC, mbeleni mtaumbuka tunawasubili kwa hamu.
 
Haya matokeo ya kubebwa na polisi pamoja na NEC, mbeleni mtaumbuka, tunawasubili kwa hamu.
 
24 - 03 ndio kuimarika?
ni rahisi kwa upinzani kushinda ubunge au urais kuliko uenyekiti wa vijiji au udiwani na sababu ni nyingi lakini ni vigumu zaidi kwao kushinda kwenye uchaguzi mdogo kuliko wakati mwingine wowote..kwangu mimi naona chadema wana mwelekeo mzuri sana
 
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru
na daftari la kupiga kura.[/Q Umemaliza ukweli ndo huo hakuna wa kutetea upinzani hata wafadhili wako wa upande wa mafisadi.Kwa kweli tumebakia na Mungu tu ndie mwamuzi wa haki kwenya nchi hii.Cha msingi hapa ni kuomba tu Mungu afanye miujiza yake.
 
wana jamvi cdm wamepambana na kupata kata 3 muhimu sana kuliko zengine,lakini cha kushangaa cuf wazee wa ngangari na ngunguli hawaonekani bado wapo analongy
 
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru
na daftari la kupiga kura.

Vipi na huyu nae anaibeba CHADEMA?
 
Attachments

  • MUSTAFA SEBODO.png
    MUSTAFA SEBODO.png
    26.2 KB · Views: 92
wana jamvi cdm wamepambana na kupata kata 3 muhimu sana kuliko zengine,lakini cha kushangaa cuf wazee wa ngangari na ngunguli hawaonekani bado wapo analongy

We Kilaza kweli yaani ugaragazwe na CCM kibao umgeuzie CUF!!! tena hakuna kata muhimu kuliko nyingine zote ni muhimu kwa chama makini na chenye kujali maslahi ya wananchi! ubaguzi mnaoonyesha Chadema hata ktk kata ipi ni muhimu na ipi si muhimu itazidi kuwagharimu!
 
Empty vessels makes GREAT NOISE ...chadema is an example of an empty vessel!!
 
We Kilaza kweli yaani ugaragazwe na CCM kibao umgeuzie CUF!!! tena hakuna kata muhimu kuliko nyingine zote ni muhimu kwa chama makini na chenye kujali maslahi ya wananchi! ubaguzi mnaoonyesha Chadema hata ktk kata ipi ni muhimu na ipi si muhimu itazidi kuwagharimu!

Kadogoo kuwa na maarifa ushindi wa ccm unafaidi zipi kwa wananchi zaidi xa maumivu?
 
Tatizo lilopo ni kuwa ccm imekwisha shirikisha ufisadi wake na taasisi hizi:
1.vyombo vya dola i.e POLISI, JWTZ, TISS na NEC
2. makampuni ya kigeni kama ya madini na gesi
3.Waasia ambao wanamiliki uchumi wetu kwa 99%
4 wachina na wanaoua tembo wetu
Inapofika uchaguzi wowote taasisi hizo hapo juu ni wadau kuhakikisha kuwa ccm inaendelea kuongoza , kwa kuwakumbuisha tu!
Mfano wizi wa EPA -TISS walihusishwa, Wizi wa hela za umma JWTZ linatuhumiwa, Wizi wa hela za umma Nec inashiriki, Polisi ndio usiseme madhambi yao, Makampuni ya madini na gesi wote mnajua yanajichotea, Wenzetu waasia wanotaka uraia wa nchi 2 wao waanaamini kuwa hawako salama kama ccm haipo na ndg zetu wachina wote mnajua kazi yao hapa Tanganyika. Kwa hali hii wakati chadema na vyama vichache makini vinaposhiriki uchaguzi wowote pande zote hizo hushiriki upande wa ccm. Maamuzi ya kuiondoa ccm ni kama tutapata katiba mpya yenye kupunguza madaraka ya rais, kuwa na NEC huru
na daftari la kupiga kura.

You nailed it bro
 
24 - 03 ndio kuimarika?

ccm imeongeza kata ipi katika hizo 24? ni idadi gani ya kura imeongezeka kwa ccm? unajua kupoteza udiwan sombetin ni hasara kisiasa kwa ccm?
 
Back
Top Bottom