Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
Kwa hiyo umeona CUF ndio wanataka watu wenye matatizo.Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CHADEMA. Sipendi huyu 'aliyekuwa' mbunge wa Kg kusini arudi chamani. Ni mtu mwenye matatizo sana. Hivyo basi, kama anataka kurudi chamani na kuwa mpambanaji katika probation akiwa mwanachama wa kawaida sawa kabisa, ila siyo kuwa na hadhi yoyote ya uongozi ndani ya chama mpaka hapo tabia yake itakapobadilika. Kama ana njaa ya uongozi, namshauri aende CUF akakutane na Mtatiro,atuachie chama chetu. Tuna vijana wengi wenye wanaokubalika na uwezo mkubwa wa kujaza nafasi ya kg kusini kuliko huyu ndumilakuwili..!
Aisee!! Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema...Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa! Itakuwa bonge la turufu kwa CUF; sijui wapewe nini tena! Kwanza, jimbo watakuwa wamelichukua kiulaini halafu wakimpatia kanafasi fulani ka kizushi kwenye chama chao itasaidia sana "kubalance" manake chama kimetawaliwa kila idara na( wale wenye ile kitu usoni hadi inatisha.) Kama wana akili wadake hiyo.
huku CDM wakristo watampokea kama mkristo mwenzao ili kuendeleza maslahi ya kanisa katoliki.Yaani aende CAFU! Wahafidhina watamla nyama mbichi mbichi!
Nani asiye jua kuwa Wabusara ni NCCR/C CM huyu ameingia hivi karinbuni na ndiye aliyeleta Thread humu kutaka Kafulila atoke NCCR leo anataka kutushawishi ate yeye ni CDM na Kwamba Kafulila aende CUF!!!!Ni kweli ,umenena sawasawa kuwa jamaa achukuliwe na CUF, coz CDM hatakiwi kabisa kutokana na uroho wa madaraka nakupend kuanzisha migogoro, aliyemwita bwana migogoro hakukosea, nashauri viongozi wangu wa cdm waepukkane na hiki kirusi kinachojiita kafulila, kama mnataka kuleta bifu kati ya HECHE na hiki kirusi ruhusuni kiingie. Hakifaiiii kabisa, nccr wamekitema sisi cdm ndiyo tutaweza,kilishatuchafua sana,tusisahau kilitutukana pale kilipopata ubunge na kuanza kushirikiana na CUF, Labda mseme kama heche hatakiwi ndiyo labda kije huku,kupanga ni kuchagua kama magamba yanavyosema,kwa hiyo tuchague kukiruhusu hiki kirusi au HECHE na DR. SLAA waondoke chamani kwetu. Ndiyo maana nakishauri kiende CUF kikamalizikie hukooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mbowe amechangia Msikiti na Seif alialikwa Kongamano Tv Imani Hapo unaonaje???Aisee!! Ni vigumu sana kutofautisha Kanisa na Chadema...