mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
CUF ni Silence Fighters na subirini 2015 mziki wake mutakuja kuushuhudia, tofauti na kile Chama Cha Depe tupu na kuhamasisha Maandamano ambacho ni Toothless Bull Dog! Action always speaks louder than words!
Cuf wako Ndanda ku ocupy
MKuu umesomea Vietnam au Philipino hiki kiswahili chako ? No wonder wewe ni Mpemba wa kubisha na mwana KAFU
CUF ni Silence Fighters na subirini 2015 mziki wake mutakuja kuushuhudia, tofauti na kile Chama Cha Depe tupu na kuhamasisha Maandamano ambacho ni Toothless Bull Dog! Action always speaks louder than words!
Mkuu, CUF ilishajifia kitambo sana....chezea ccm wewe? iko chezea ccm,iko kufa weweNikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'
Wewe unafikiri kwanini alikuwa anajiita mwana CUF na sasa anaikataa tena hadi wewe unamuita mnafiki?Eti na wewe ulikuwa unajiita mwana CUF? wanafiki wanaumbuka taratibu..
Wewe unafikiri kwanini alikuwa anajiita mwana CUF na sasa anaikataa tena hadi wewe unamuita mnafiki?
eeeh! unafikiri kwanini?
The fact kwamba mnaikumbuka ina maana bado ipo..iko siku itaibuka..ila kwa sasa wamedorora, na kwenye siasa ni kawaida tu; kwani ungeamini NCCR ingekufa kihivyo..bado chadema 2015 wakati CCM itakuwa na mkatoliki ndio mwisho wa makelele yao..
Mawazo mgando. Hata agombee sisimizi kwa tiketi ya chadema atashinda, si ukatoliki wala niniThe fact kwamba mnaikumbuka ina maana bado ipo..iko siku itaibuka..ila kwa sasa wamedorora, na kwenye siasa ni kawaida tu; kwani ungeamini NCCR ingekufa kihivyo..bado chadema 2015 wakati CCM itakuwa na mkatoliki ndio mwisho wa makelele yao..
Mawazo mgando. Hata agombee sisimizi kwa tiketi ya chadema atashinda, si ukatoliki wala nini