CUF: CCM imemuonea Edward Lowassa

Aliye na ushahidi wa ufisadi wa Lowassa auweke wazi, zingine ni kelele za mlango hazitawasaidia.
 
figganigga

hivi ni Lowassa tu ndiye aliyekatwa kati ya wale 37?!

Wamekatwa waliikua wanajaribu.
Nape na Mangula walishajipanga kumkata kwa ajili ya kumbeba Membe.
Timu kubwa kama Simba au Yanga ukiifanyia hujuma ni lazima mashabiki wapige Kelele na vurugu ziwepo lakini timu ndogo huwa hakuna tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Watu wana mahesabu ya mbali sana aisee. Chukua Lowassa (hata kama unajua ni fisadi...), simamisha kugombea uRais(huku ukijua hatopata), pata kura nyingi za uRais, ambazo mwisho wa siku zinakuwa translated kwenye idadi kubwa ya wabunge wa kuteuliwa, na pale mwisho kabisa, RUZUKU inakuwa kuubwa for the next five years. Kijasiriamali zaidi. The end justifies the means.
 
Swali la msingi sana ulilouliza, why only him and not other 36 candidates, who is complaining about that goli la mkono of Kamati ya maadili?

My frere, the important question is, Why only He,lamenting this much!? Haki ya mtu mmoja kati kumi si kitu,kwa mtazamo wako? does two wrongs make a right,simply b'se the rest 36 are calm?
Mimi si mfuasi wa EL,lakini hakutendewa vema kwa mujibu wa taratibu za kanuni za chama chao.
Kitu kingine ujue, "hata mkosaji (ikithibitika ) ana haki zake.
 
wamekatwa 32, kaonewa 1 ajabu sana hii, CUF wanawabagua hao wengine 31;
 
"Mafisadi badala ya kuwa gerezani wakitumikia kifungo cha kuiba Mali za umma , wamechukua fomu kugombea urais CCM " ,,,by Prof lipumba 2015, wakati akitangaza nia ya kuteuliwa ukawa kuwania urais

Leo cuf wanampigia lowasa debe, hakika Tanzania hakuna upinzani wa kweli Bali kuna vikundi vya wasakatonge waliokosa fursa CCM
 
Another day, another drama aiseee....
 
Chama cha CUF, kimeibuka na kumtetea aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba Chama Cha CCM kilimuonea kwa kukata jina katika ngazi ya Kamati ya Maadili na kushindwa kulifikisha Kamati Kuu ya CCM (CC).

Kadhalika, CUF kimesema kipo tayari kumpokea Lowassa ndani ya chama hicho kwa kuwa ni msafi na hajawahi kufikishwa hata mahakamani kwa ajili ya kushitakiwa kutokana na madai ya rushwa.

Chanzo: Nipashe

 
Mtu ana mtaji wa watu zaidi ya mil 3 na wabunge 150 wanamuunga mkono kwa nini asisakwe kama Messi.
 
mh, natamani ningeishi enzi za tomaso maana uzushi ulikuwa hauna nafasi
 
CUF sasa wanachemsha. Wamwache yeye ndio aombe kwenda kwao. Kwa kumbembeleza atawataka wafuate misimamo yake. Au ndio wako tayari kutoka Ukawa?
 
hii ni jinsi gan wapinzani wanakosa kujiamini kumkaribisha mtu ambaye hakuweza kupinga na kutamka juu ya vitu viovu vinavoendelea katika chama chake inaonekana wanatafuta mtu ambaye anajina anaumaarufu ili kumtumia kujijenga kisiasa kwa uchguzi ujao
 
Aliye na ushahidi wa ufisadi wa Lowassa auweke wazi, zingine ni kelele za mlango hazitawasaidia.
Ushahidi gani unaoutaka tofauti na ule wa Dr.Slaa alioutoa pale Mwambeyanga orodha ya mafisadi, au Dr.Slaa naye ni mnafiki muongo tu?
 

Nape Nauye
(1)Kadi yake ya Chama ni namba ngapi......?
(2)Ndani ya C.C.M ana muda gani...?
...............*..............*.................
January Makamba
(1)Ana umri gani........?
(2)Siasa rasmi ameanza kujihusisha nayo miaka mingapi....?
*............*............*............*
Jamani tuwe na heshima kwa walio tangulia
Kingunge ni Mkubwa kwenu ki Umri na hata ule ukongwe wa kisiasa
.............*...................*................
C.U.F
Hizo ni kick za kutaka kuwa on our ear's na zaidi ya yote labda mpo kwa kutaka RASILI MALI WATU sasa basi hUyo LOWASSA sio njia ya kuingia IKULU..........."OVER"
 

Wala usitishwe na kauli kama hizo kaa ukijua siku zote "MWANA SIASA MZURI" ni "MUIGIZAJI MZURI"
 


*****DAWA YA MTENDA DHAMBI NI UMAUTI****

ii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…