CUF Bukoba watinga bungeni

Wakuu zangu,
Mnajua tactic ya mzungu siku zote ni kuwagawana watu ili Wapate kutawala..Na hakika mada nyingi sana kwa miezi hii miwili imekuwa ya kugawanya ili Mtu fulani apate kutawala..
Hii hoja ya CUF na Chadema haina tofauti kabisa na mada zile za Waislaam vs Wakristu ktk hoja za OIC, MOu, Mahakama ya kadhi na kadhalika ili mradi uwezekano wa kujengwa daraja baina yetu usiwepo...

Sijui kama mbinu hizi zimeanzishwa na mwanaCCM kuwavuruga watu au ndio NDIVYO TULIVYO..hivi mnashindwa kuona kwamba kwa kila hoja mnayo present hapa ni ushabiki mtupu. CUF ilikuwa chama mbadala miaka 6 tu iliyopita, NCCR -Mageuzi walidumu kwa miaka 4 tu...na kwa ujinga wa viongozi na wananchama wa vyama hivi walifikiria kwamba watadumu nafasi hizo milele...Leo wako wapi?

Hivyo, wana Chadema nakuusieni msifurahie kijinafasi mlokuwa nacho leo hii kwa sababu CCM yupo macho akitazama kila hatua yenu..Kuwa chama mbadala bara wakati tuna viti vichache sana bungeni ni aibu kujisifia. CUF wameshika viti ktk bunge la Muungano kuliko Chadema na hata kama mtachanganya viti vyenu nyote bado hamuonekani kama tishio kwa CCM. ni sawa sehemu ya mkia ktk ng'ombe mzima.
Kumbukeni JK kashinda uchaguzi kwa asilimia 80, hivyo ugonvi wenu kwa hizo asilimia 20 zilizobakia ni mawazo mgando.. inachekesha..Wekeni nguvu yenu katika kutafuta mbinu ya kumwondoa CCM madarakani kuliko kugombea ukoko wa chungu.

Nitarudia kusema tena kwamba nguvu alokuja nayo Chadema na Mbowe mwaka 2005, siwezi kuipa kipimo kabisa na kama ungeniuliza kabla ya uchaguzi ningejibu kwamba Chadema wangefika asilimia 40, lakini wapi..hizi habari za Ufisadi ni marudio tu sema yamekuwa na uzito kiasi ambacho pengine wabunge wanaohusika hawatachaguliwa tena. Lakini CCM sii wajinga hivyo.. nina hakika watasimamisha watu wengine ambao hawapo ktk list ya Mafisadi na watazidi kutesa.

Hivyo pamoja na kwamba CCM wanaiba kura au wanatumia mbinu chafu ni bora sana wekeni nguvu zetu za kifikra ktk kumtazama adui wenu wa haki kuliko kvutana wanyonge utafikri tuko Iraq au Somalia.
 
Last edited:

Wewe BOB
vipi? CHADEMA tishio yani hujui hilo?? ama upepo wa RA umekupitia.
 
Mimi naona ndicho kilichobakia..labda nijiunge na Mafisadi...maanake nazeeka kama wakulu walionitangulia sina hata kibanda.. Lol
 
Wacha waendelee kujisifia walifanya hivo hivo NCCR, 2010 siyo mbali nini kuandikia mate...."Upinzani ni kimeo hasa viongozi wao wakuu" just waiting a leader to be born
 
Mimi naona ndicho kilichobakia..labda nijiunge na Mafisadi...maanake nazeeka kama wakulu walionitangulia sina hata kibanda.. Lol

Harafu kwa bongo ukiwa fisadi wewe ndo mjanja aka mtoto wa mjini,na ukiwa mwaminifu mtenda haki wewe ndo goigoi zezeta na mlugaluga ,na utasikia ona jamaa kadata hata kibanda kimemshinda kunyanyuwa si wakuiga yule, yawzekana kapata fedha za kutambikia yule na usimweone vile kasoma kweli hadi kakuta kibao No CLASS,lakini bado choka mbaya.
 
Back
Top Bottom