Ndugu zanguni issue na Dowans inasemekana ni CCM Kulipa fadhila za uchaguzi mkuu 2005! Ccm ilingia mkataba na Mh Rostum Aziz (MP) Igunga kuwezesha Ccm kifedha ili tu itakapo shika hatam za uongozi basi Rostam ndiye atakayepewe tenda kubwa kubwa za Serikali!
Ilivyotokea issue ya kufua umeme wa dharura Mh Rostam aliibuka kidedea cha uzabuni japo hakukithi vigezo muhimu kwa kushrikia na Serikali ya Nkwere! Compuni iliitwa Richmond, iliyopelekea Lowasa na wezake kujiuzulu! Kama haitoshi Ikabadilishwa jina na Kuitwa Dowans, inayosubiria kulipwa 94 biln kodi za watanzania!
Hiv serikali ya Nkwere kila m2 ni kilaza mpaka Wasajili wa makampuni? Kwa hyo kelele za Wanassiem mitambo kununuliwa pengine na kulipa deni ni kwa maslahi ya chama!