Cryptowall malware

Cryptowall malware

Yani hiyo script haifai katika script zote duniani, sababu ni app tosha ukilinganisha na html. Yani mie ilikuja message ya ku update java nilivyokubali nikaenda kulala sababu huwa sizimi computa asubuhi nikakuta balaaa hatari. YAni nashukuru hawa jamaa dizaini kama huwa wana huruma fulani, sababu sijui kwann wameamini haraka na kutuma hiyo zip file. Maybe sababu ya ip inaonyesha huyu jamaa anaishi dunia ya tatu.

Nimesoma sana RSA 2048 encryption ni noma yani kama huna key ni lazima utupe files hizo.

Anyway ni jambo la kumshukuru Mungu kupata key with Zero cost sababu jamaa wapo kazini na wamejipanga.
Damn... Dude umepata nice xprience kwenye real life ni kama umeenda tour ya maana .

Bt the deal ni kwa watumiaj wa android , wanawezaje kujiprotect?? Sec kama simu imesha kuwa infected unawezaje kurekebisha ili malware waondoke??
 
The best way ni kutumia anti virus za android na kikubwa zaidi ya hizo anti virus ni kuepuka ku download vitu usivyo vijua kwenye simu yako sababu unaweza ukadownload virus na akainstall automatic bila we kujua.

Kuna virus akisha run kwenye simu yako anajipa administrative privileges na huwezi mtoa na anavyo behave anakufanya huwezi hata okoa vitu vyako kwenye simu zaidi ya factory reset.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Damn... Dude umepata nice xprience kwenye real life ni kama umeenda tour ya maana .

Bt the deal ni kwa watumiaj wa android , wanawezaje kujiprotect?? Sec kama simu imesha kuwa infected unawezaje kurekebisha ili malware waondoke??
Malware wanaondolewa mkuu...
 
E
mimi natumia macbook pro

je ninaweza backup kwa kutumia external yangu na kisha external nikaendelea kutumia kuhifadhia vitu vingine
Hiyo inawezekana kabisa una backup ila sio system files
 
Back
Top Bottom