Crypto currency /block chain technology

Crypto currency /block chain technology

booker T washington

Senior Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
104
Reaction score
36
Kutrade, kutrade...ni nin..??

Biashara yoyote huusisha kununua na kuuza...hivo 2 ndo huonyesha uwepo wa biashara(trading)

Unanunua kwa bei ya chini na unauza kwa bei ya juu
Na coin ndivo ilivo

Huku ni kununua alts moja kwenda nyingne au kwenda btc and viseversa is true, mfana kwenye exchanger kunakuwepo na alts nyiiingi, pamoja na btc...so unabuy mf lipple, unapata lipple, ikipanda unauza lipple unapata btc au kwenda alts yoyote ambayo unakuwa umetarget....

So kwenye wallet utakuta buying and selling....

Kama nlivosema hapo mwanzoni juu ya btc ..alts kufanya vizur pia hutegemea na demand and supply...na matukio yatakayojitokeza kwa wakt husika, yanaweza kuwa ya kiuchumi au ya kimazingira au ya kisiasa, road map, investors wakubwa wa coin husika ndo vinaeza sababisha coin husika ipande


Kwenye hii kitu utakutana na kitu kinaitwa Pumping and dumping...
Wakulima wakishavuna paaap, wanunuzi mnajikusanya mnaenda mnanunua mahindi meeengi kwa bei ya chini yakiwa bado mengi, then watakuja kununua wengne ambao hawajui watakuta either mahindi yamepanda bei hivo bei itakuwa imeongezeka kuliko waliyonunulia, wakishaona bei iliyopo tayar wana faida wale wanunuz kwa pamoooja wanauza mahindi yaohivo bei itashuka na kujikuta nyie nlonunua mwishoni mmepata hasara...au bei imeshuka...

So wakinunua kwa pamoja wanaita pumping...wakiuza ndo inaitwa dumping

So ww ulonunua bei ikiwa juu kuna 2...aitha kuuza kwa hasara au kuhold mpka tena bei ipande uuze kwa faida. WhatsApp +255656202162
 
Kama kuna alielewa anieleweshe?

Concept ya Cryptocurrency inahitaji kutumia lugha ambayo very informative and transparent imagine Mimi ni Crypto investor for 13 months but nimepata tabu kukuelewa vipi kuhusu huyu newbie? Hopefully nae hajang'amua chochote mkuu. Jitahidi kudadavua zaidi ili wadau waelewe kwa undani zaidi potential ya hii investment.

Kila la kheri!
 
Click hii link hapo chini kwa ajili ya kuexchange views and ideas juu ya Cryptocurrency issue kwenye group letu la WhatsApp..Bitcoin and all altcoins will be highly discussed.

Njooni tujadili kinaubaga juu ya taaluma hii adhimu ya Cryptocurrency. Bonyeza lonk hii hapa kufiia kilingeni. Forex /blockchain EA:
 
Back
Top Bottom