Mimi Sina mchango wowote kama mtaalamu.
Ila navyoona ingependeza iwe Pop up ads, ukishindwa hilo ungeweka matangazo ya banner.
Lkn pia jifunze kwa waliokutangulia nenda web ya michuzi hiyo huwa naona matangazo lukuki,utajua vzr Tangazo liwe mfumo upi na likae wapi.
Kuna kijiji niliskia kinaitwa Mwanzo mzuri.