kuna movie naitafuta kwa gharama yoyote ile sikumbuki kama jina ni sahihi
kama sikosei ( Crying for Argentina ) Sterring Evita Peron or Eva Peron
ina mafunzo na uhondo usochuja mwenye habari inakopatikana msaada tutani

lakini we bwana Geoff ukiona tu sterring lazima ujue namaanisha nini ..mie niliwahi kuichungulia sehemu nikaipenda ila sikuimaliza na sikupata access ya kuimiliki ..nitafitie basi

Ha ha haa, ni kweli dadaangu nimeingilia mlango wa Kutokea, si unajua Mashabiki wa Soka, full Kuchizika kama unabisah weka thread halafu dokeza habari za Man U au Arsenal nk, then angalia kwenye number of active users