CROWS FEET/MIKUNJO PEMBENI YA MACHO

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,007
Reaction score
1,600
Dearest,

[emoji830]Leo naomba nishee nawewe kuhusu kitu kinaitwa crows feet.

[emoji830]Crows feet ni mikunjo inayotokea pembeni ya macho hasa ukicheka.

[emoji830]Mtu yoyote kuanzia miaka 25 huanza kupata crows feet na huzidi kuongezeka kadri umri unavyosonga.

[emoji830]Ningependa kushea nawe kuhusu cream za kupaka machoni ambazo zimetengenezwa kiasilia.

[emoji830]Kama tunavojua jicho ni sehem ya kwanza kuzeeka....kwa sababu jicho hublink (kufunga na kufungua) zaidi ya mara 1000 kwa siku hivyo kupelekea ngozi kuzunguka jicho kuchoka.

[emoji830]Eye cream hizi huongeza elasticity na kuzuia & kuondoa crowsfeet kiasilia kabisa.

*Cream za Machoni/ Eye cream*

[emoji843]Weusi chini ya macho, macho kuvimba baada ya kulala, mikunjo eneo la jicho ,
[emoji1428]hizi ni dalili chache za kuchoka ngozi inayozunguka jicho lako...

[emoji843]Wataalamu wanasema kwa siku unafunga na kufumbua jicho(blinking ) zaidi ya mara 1,000..lakini pia jicho hili hili linakumbana na jua, mwanga wa simu,tv, computer n.k

[emoji843]Ngozi ya jicho ni delicate sana sana , na ndio maana inakuwa ya kwanza kuonyesha dalili za kuchoka au kuzeeka...

[emoji843]Kuzuia hali hii, tumia EYECREAM (cream maalum ya macho)

[emoji843]Cream hizi zinapatikana oriflame na zipo kulingana na aina ya ngozi pamoja na uhitaji..zitakusaidia kuondoa dalili ambazo tayari zimeanza kujionyesha na kuzuia zisiendelee kutokea..
Bidhaa zetu ni asilia (Natural )

[emoji818]Alovera eyecream page 29.(kwa mtu alojichubua).code 30143.
23,000 mteja

[emoji818]Optimal hydra"Seeing is believing".
Kwa mtu mwenye ngozi kavu&combination
eyecream page 22 code 32464.
34,000 mteja

[emoji818]Optimal eye cream code 33226..kwa mtu mwenye madoa
Page 21.
34,000 mteja

[emoji419]Page 18 kuna eye creams za Novage (kuzuia makunyanzi/ant ageing)
[emoji843]code 31542...Kwa mtu mzima kuanzia miaka 45
[emoji843]code 31546...kuanzia 35 miaka kuendelea
[emoji843]code 32804..kuanzia 25 years.

[emoji815]Cream ya macho hupakwa baada ya kuosha uso...sehem inayozunguka jicho tu. Kwa nje.

[emoji171]Tender care page 31..code 33954 & 1276..
Znafanya kaz ya eye cream pia.
14,000 mteja

Kwa mawasiliano 0759827138
 
Mnataka mtu akicheka awe kama Punda uso usijikunje?

Vitu vingine tuache tu na jinsi Mungu alivyoumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…