Crown Prince: No compromise with Iran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crown Prince: No compromise with Iran

Discussion in 'International Forum' started by Kinyungu, Nov 2, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Crown Prince Naif, deputy premier and minister of interior, on Tuesday ruled out any compromise with Iran over allegations of Iranian involvement in a plot to murder the Saudi ambassador to Washington."There can be no compromise with Iran concerning the assassination bid because there is no need for it," the crown prince told reporters while addressing a news conference after inspecting Haj preparations.

  "We are ready to deal with any scenario... with any means necessary," he added without further details. Iran has repeatedly denied any involvement in the alleged plot

  Huyu Mfalme mtarajiwa atawaweza Wairan kweli? Au atawaomba Wazayuni wawasaidie Wasaudia?


  .Crown Prince: No compromise with Iran - Arab News
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,056
  Likes Received: 3,978
  Trophy Points: 280
  Iran ana nini cha maana? au ule mdomo wa Ahmadinejad
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaonekana huyu mfalme mtarajiwa ni ant-Iran flan hata records zake zinasema hivyo...lakini hata kama Iran hana cha maana unadhani Wairan watakubali kufanyiwa chochote wakae kimya? Kumbuka more than 90% ya mafuta ya Saudia yanatoka mkoa ambao unakaliwa na Washia ambao kwa kawaida wana mahusiano mema na wenzao wa Iran.
   
 4. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  sio mdomo mzee amejipanga na mkwala wake wa nyuklia, hawa wavamizi sijui Nato sijui Marekani wanajua wakimuingia kijinga jinga hatakubali yaliyomtokea Ghaddafi yamkute na yeye, anakufa nao sahani moja jamaa kwa sasa ana moyo wa kama mbaya na iwe mbayaaa tu potelea mbali!!!
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hujui maneno ya waarabu yalivyo-ahmednejad though ana power ya jeshi-ila hana kitu-usa wanatafuta mtu wa kuanza naye coz kwa sasa wao wanakosa sababu ya kumvamia iran-ila siku atakayovamiwa-yatamfika yaliyomfika sadam
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 7. U

  Userne JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha wachezee moto wataungua mavýö! dawa yao imewiva! hawajifunzi kwa marehemu sadam, osama na gadafi!
   
Loading...