exactly, mjenzi anafuata michoro ilivyo, kama mchoro unamakosa yeye atarekebishaje? kama mhandisi mwelekezi hajaona hilo kosa yeye mjenzi atalionaje?Jengo kuwa na nyufa inaweza isiwe kosa la contractor moja kwa moja, inawezekana kosa likawa la consultant aliyedesign jengo
Majengo ya UDOM yalishaanza kupasuka, tiles zinabanduka hovyo na kuna majengo yapo college ya Social Science hayana tiles utadhani yamejengwa mwaka 1980!kweli kabisaa kwa mfano kuna jamaa yangu ananiambia udom inamiaka mitatu na nusu lakini majengo yake yana crake za kutisha,tiles zinacheza ukikanya majengo hayajakabidhiwa lakini yanahitaji repair na ni hao hao CRJE,they do not know if cheaper things comes with costs
kubanduka tiles inaweza kuwa kosa la cement mbovu, kumbuka hawaji na cement wananunua hapahapa, pia kubanduka tiles linaweza kuwa kosa la mafundi washi, ikumbukwe ni hapahapa udom vibarua waliandamana kuwa kazi zao zinachukuliwa na wachina sasa wabongo wamepewa hayo ndo matokeo yake.Sewage system mfano ,kwenye majengo ya college ya humanities ni mbovu sana ,tuseme college zote kuna shida tiles zimebanduka.......yaani ni tabu tupu ...kwa ujumla ukiangalua umri wa chuo na majengo unaweka alama ya ulizo
jamani saruji si tuliiba wenyewe! na tuliendesha migomo baridi tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe haya ndo madhara ya siasa za akina lema.Majengo ya UDOM yalishaanza kupasuka, tiles zinabanduka hovyo na kuna majengo yapo college ya Social Science hayana tiles utadhani yamejengwa mwaka 1980!
Wizi usiwe kisingizio cha ku under perform.....wanatakiwa wadhibiti ubora uzingatiwe na hizi mifumo mibovu za sewage system tatizo ni nn ?kubanduka tiles inaweza kuwa kosa la cement mbovu, kumbuka hawaji na cement wananunua hapahapa, pia kubanduka tiles linaweza kuwa kosa la mafundi washi, ikumbukwe ni hapahapa udom vibarua waliandamana kuwa kazi zao zinachukuliwa na wachina sasa wabongo wamepewa hayo ndo matokeo yake.
tukumbuke wakati wa ujenzi wa udom huyu mchina alilalamikia wizi wa vifaa vya ujenzi ikiwemo saruji na migomo ya kijinga ya vibarua tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe saruji tuibe tufanyekazi mbovu wanao kuja kuumia ni watoto wetu wenyewe.
Ni kweli sometimes sisi Watz pia ni tatizo. Kuna jamaa yangu mmoja anatokea Iringa alinisimulia kuwa aliwahi kuingia nyumba ya jamaa mmoja alisoma UDOM alikuwa UDOSO (Serikali ya wanafunzi) ndani alikuta tiles kama za UDOM. Jamaa alimwambia alizipiga UDOM.jamani saruji si tuliiba wenyewe! na tuliendesha migomo baridi tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe haya ndo madhara ya siasa za akina lema.
kuziba kwa mifereji ya maji taka inaweza kuwa ni kondom au uchafu mwingine wa aibu, tumesikia chuo kimoja mdada alikuwa anaishi kimada bwenini tena na mtu asiyekuwa mwanachuo,Wizi usiwe kisingizio cha ku under perform.....wanatakiwa wadhibiti ubora uzingatiwe na hizi mifumo mibovu za sewage system tatizo ni nn ?
Msuya acha siasa za majitaka, CRJE Mr. Wang alikuja miaka ya themanini akiwa daktari wa mitishamba wa kichina badae akaanza biashara ya mabasi ya Inter City na Golden Coach ndiye aliyeleta basi la kwanza la youtong likiwa na engene nyuma. akakutana na fursa za ujenzi hasa wakati wa sakata la ujenzi wa majengo pacha ya BOT,
Hii ni kampuni ya ujenzi ya waChina hapa Tanzania
hii kampuni inaongoza kwa kutuhumiwa kuwatajirisha maofisa wa serikali ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine kutoa tenda za ujenzi.
CRB nao inaonekana hawana uwezo wa kuwafanya kitu lakini kwa sababu kampuni za wazalendo hazipendwi na maofisa waserikali kwani hazitoi rushwa, sasa hivi wazalendo wengi wameamua eidha kuuza au kuhamia nchi za jirani huku Tanzania inaachiwa CRJE
Kama hamumini tazameni nani anapitisha tenda za hiii kampuni na hali zao za kimaisha zikoje. Pia kwa kuwa waChina bei zao ni za chini mno lakini ukweli ni kuwa wanaweka materials ambazo ni hafifu sana kwenye majengo lakini of course kwa sababu washawanuanua ma inspectors hakuna anayeweza kutia neno.
sisi kama wama taaluma hiii tumefika hatua ya kukata tamaa na juzi nilikutana na wanafunzi toka ardhi ambao ilibidi niwape hali halisi ilivyo huku nje ya shule.
Kama serikali ispoliangalia hili kwa undani basi muda si mrefu mtaona industry nzima inaanguka Tanzania wakati Rwanda na Kenya serikali zao zina linda local companies.
Ila kuna tatizo mahali ...majengo mpya ila dah kuna kasoro mahali...kuziba kwa mifereji ya maji taka inaweza kuwa ni kondom au uchafu mwingine wa aibu, tumesikia chuo kimoja mdada alikuwa anaishi kimada bwenini tena na mtu asiyekuwa mwanachuo,
pale ruvu sekondari vilijengwa vyoo vya kisasa na wacuba watoto wakawa wanatawazia magunzi na majani ya miembe vyoo vyote vikaziba wakachimbiwa vyoo vya shimo, hapo udom wajengewe vyoo vya shimo (drop hole latrine). watu watupe kondomu ped watawazie magazeti na majaradio makukuu viache kuziba kweli?Ila kuna tatizo mahali ...majengo mpya ila dah kuna kasoro mahali...
Kama ni tabia ya wanachuo ..hiyo mbona vyuo vingine hilo halitokei...?? Mwanacho hawez kutupa taka ngum chooni.....ikitokea ni wachache sanapale ruvu sekondari vilijengwa vyoo vya kisasa na wacuba watoto wakawa wanatawazia magunzi na majani ya miembe vyoo vyote vikaziba wakachimbiwa vyoo vya shimo, hapo udom wajengewe vyoo vya shimo (drop hole latrine). watu watupe kondomu ped watawazie magazeti na majaradio makukuu viache kuziba kweli?
vyuo vingi kuna vyoo vya shimo, wawachimbie na hao udomKama ni tabia ya wanachuo ..hiyo mbona vyuo vingine hilo halitokei...?? Mwanacho hawez kutupa taka ngum chooni.....ikitokea ni wachache sana
Hahaa mbona pale mlimani hakuna.......vyuo vingi kuna vyoo vya shimo, wawachimbie na hao udom
Umenena ukweli haswa na mifano ni mingi sana ingawa sikubaliani na kutowapatia tenda wazawa. Lazima tubadilikeTusidanganyane wakubwa, wakandarasi wazawa n pasua kichwa, uku nilipo miradi inayofanywa na wazawa ni balaaa! Miradi haijaisha wamekimbia kazi, wakishalipwa 80% ya malipo utaisoma namba! Au kama mradi unahitaji alipwe advance, akipewa tu mtaona manyoya, kuna hii miradi ya world bank ya kujenga SEKONDARI kwenye baadhi ya wilaya wamepewa wazawa, simple tu nenda kaangalie upupu walioufanya maana hawana uchungu na watoto wao kama wanaweza somea hapo, mfano mwingine mzuri n pale unapo MPA mzawa akujengee Nyumba ya kuishi hapo kama hamjafikishana mpaka polisi jua huyo c mtanzania!
Unajua process za tendering?mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
China Civil Engineering Company - CCECChina Railways Jiangchan Engineering - CRJE
China Construction Company -CHICO
China Geo Engineering Company - CEGC
CCCE
wachina kiboko .... tumekwisha