Unajua, huwezi kujenga chama bila clear policy positions.
CDM imekuwa ikikosoa CCM na serikali yake tu lakini criticism isn't policy. (Ukosoaji sio sera)
Watanzania wangapi wanajua msimamo wa CDM kuhusu kodi, foreign policy, defence policy, immigration, labour rights, mazingira ,kilimo.afya, Elimu, nk.
Maswala ya nchi yanahusu political stability, social stability,economical stability na mengine mengi .
Haya ndiyo ya msingi.
Lakini CDM inajulikana zaidi kwa uma kwa kile inapinga kuliko misingi yake na sera zake.
Tofauti ya CCM na CDM ni ,
(Chadema is well known for what is against)
( CCM is well known for what it stands for)