Cristiano Ronaldo chilling in chato!

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,794
9,035
FB_IMG_15384208307478109.jpeg
 
Duka la picha, angalia perspective, proportion, edges na pixels kwa watu hao wawili zinakataa...
 
Wanaume ambao huwa mna-edit picha na kujiunganisha na wanaume wenzenu mara kuna walakini katika tabia zenu. Bora hata ungemeweka mjombaako hapo angalau.
 
....Hivi huko Chato sindio njia moja na kwenda Koromije? {BashiteBrain}
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom