Cristian Ronaldo ndani ya Man U

Mkuu mimi bado nategemea makubwa kutok kwa huyu mwamba, zile nafasi za magoli wanazokosaga Rashford na Martial huyu mwamba hatofanya huo ujinga, na hii itatusaidia kushinda vikombe.

Pia atawaimarisha sana Rashford, Martial, Greenwood, Pogba na Sancho. Ile tabia ya Pogba na Rashford kujiona mafather wa timu sasa itakoma. Kifupi huyu mwamba anarudisha moral ya timu kiujumla.
Huku sosha akifukuzwa
 
Back
Top Bottom