wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,379 May 17, 2011 #1 Wakuu naombeni ufunuo kuhusu hili....huyu jamaa anayeitwa CHRISS ANGLE.Huwa simueli elewi kwani mambo yake nayofanya kwenye show zake sijui ni uchawi au ni-graphics. Criss Angel ∞ Mindfreak
Wakuu naombeni ufunuo kuhusu hili....huyu jamaa anayeitwa CHRISS ANGLE.Huwa simueli elewi kwani mambo yake nayofanya kwenye show zake sijui ni uchawi au ni-graphics. Criss Angel ∞ Mindfreak
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,324 Reaction score 2,901 May 17, 2011 #2 Hata mimi huwa simuelewi Mkuu. Huyu jamaa ananiacha hoi. Kwa wenye uelewa mtujuze.
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 May 17, 2011 #3 Mmmmhhhh na dhani ni magic tuu.. Kama take mazingaubwe ya PAWA MABULA shule ya msingi lol
Makedha Senior Member Joined Sep 24, 2010 Posts 167 Reaction score 53 May 19, 2011 #4 Chris Angel ajiita illusionist, yaani anajua vipi kuzifanya magic tricks zake zionekane kama ni uchawi wa kweli lakini everything ni illusion tu.
Chris Angel ajiita illusionist, yaani anajua vipi kuzifanya magic tricks zake zionekane kama ni uchawi wa kweli lakini everything ni illusion tu.