Crisis between Qatar and Saudi Arabia

Al Saud ni jew
Walipandikizwa na kuandaliwa hapo
 
Duh umechambua vizuri,,nikweli kabisa kundi la UGAIDI LA ISIS muanzilishi wake ni bin Salmani wa saudia na washirika wake america ,,
 
Uko sawa mkuu,halafu mapopoma wanaiita Saudia eti nchi takatifu,wakati ni evil country
 
Hayo maeneo matakatifu yalikuwepo kabla hata ya Uarabu/waarabu kuwepo
Tatizo langu huwa ni eti Eneo linakuwa takatifu, hapo ndio huwa sielewi kabisa. Anyway sio mada ya leo, nimeshindwa kujizuia kwa hili.
 
Uko sawa mkuu,halafu mapopoma wanaiita Saudia eti nchi takatifu,wakati ni evil country
Watawala wa Saudi ni waovu, ila Saudi(hijaz) ina ardhi takatifu yaani miji ya Makka na Madina. Na Palestine ina ardhi takatifu nayo ni mji wa baytul maqis(jerusalum) lakini ina viongozi waovu ambao baadhi wameanzisha kijinchi kiovu kinaitwa israel ndani ya palestina
 
Duh Dunia imejaa vioja sana,ufalme wa saudia ukianguka Saudia itakuwa taifa zuri mno
 
Kama we si shia,basi utakuwa huujui uislamu wala historia ya Saudia
Jee Shia siyo waislamu? ukiondoa sababu za kisiasa zilizopo hivi sasa, kwa miaka ya nyuma mahujaj toka iran walikuwa maelfu kwa maelfu kila mwaka walienda kuhiji.
 
Mmehamia kwenye madhab, si mngeenda jukwaa la dini, mnatoka nje ya mada kabisa. Jifunzeni kuchangia jambo lililozungumziwa
 

Naomba nitajie hao masheikh wa Kisalafy.
Na uje pia na hayo makundi ya kisalafy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…