Crisis between Qatar and Saudi Arabia

Kama we si shia,basi utakuwa huujui uislamu wala historia ya Saudia
 
Uongo unaoandika hapa,ni uthibitisho wa uduni wako wa elimu kuhusu uislamu na itikadi sahihi.
 
Kama we si shia,basi utakuwa huujui uislamu wala historia ya Saudia
How dare you make assumption about me? When i believe in tawheed Rrububiyah watawheed Ululiyah watawheed asmaa waswifaat. How dare you?

Unathubutuje kuniita Shia wakati nafuata Qur'an, Sunna na Ijmaa (ya wana wa zuoni) How dare you?

Oohh! Kwa vile nimesema kuhusu Utawala wa Saudi Arabia. Na katika waislam wanao busu miguu Utawala wa Saudi Arabia ni ninyi Salafi, mnaojiita majina meeengi. Salafi/Ansar sunnah/Wahhabi yote yenu.

Na kwa taarifa yako, Chuo cha Al Azhar, Chuo Kikuu kikongwe kabisa cha Kiislam na Duniani kwa ujumla na Chuo kinachoheshimika na kufahamika kwa Sunni Muslim world. The grand Imam of Azhar Sheikh Ahmed al Tayeb alishasema wazi, ninyi salafi/Wahhabi/ansarsunnah si Sunni. Mna wana wa zuoni wenu mnaowafuata. Na ninyi ni mbwa watiifu kwa Saudi.

Sikulazimishi uniamini. Lakini huu ndiyo ukweli ukubali uukatie ila huu ndiyo ukweli. Masheikh wenu wote hao wa Kisalafi wakubwa Duniani wanalipwa petro dollar kutoka Saudi. Kazi yenu ni kuikhtalifisha waislam waikhtalfiane wenyewe kwa wenyewe, na kujiona ninyi ni waislam safi. Wengine wote wamepotea ni watu wa bidaa.

Kwa kifupi ninyi si Sunni na mnajitahidi sana kujipendekeza kwa Sunni. Endeleni kufuata school of thought ya kwenu. Duniani kote makundi ya kigaidi ya Kiislam ni ya Kisalafi na ndiyo ideology inayofuatwa na kuenezwa Duniani na utawala wa Saudi.

Akisema Sheikh Alban amesema. Akisema sheikh wa mbali tofauti na alichosema Sheikh Alban huyo ni mtu wa bidaa. Ninyi endeleeni tu.
 
Unajuwa mfadhili mkubwa wa
1. Hisbullah
2. Jamaa
3. Huth
5. Kashogs death


Huyo ndo Iran sasa gaid mkuu wa ulimwengu

meca mji mtakatifu makafir wapo kweli pale?
Sasa si afadhali huyo hizbullah alipigana na Mzayuni kuzuia kuingia Lebanon badala ya jeshi la nchi kushindwa(kama sijakosea ni 1982)

Mwaka 2006 hizbullah alipigana na Mzayuni tena na wote ni mashahidi wa kilichotokea kwenye hiyo vita. Mpaka Amerika akapeleka azimio la kusimamisha mapigano ya silaha UN.

Na hizbullah anasaidiwa na Iran. Na si hivyo vikundi ulivyovitaja tu bali hata Hamas wanasaidiwa na Iran Mshia kupambana na Wazayuni wanaokaa kimabavu Palestina.

Tugeuze upande wa pili wa shilingi tuwaangalia hao salafi wa Utawala wa Saudia wamefanya nini: Palestina wanaonewa hawafanyi chochote. Hatuaminishi kwamba ni vita, hata kauli tu ya (iman dhaifu) kutoa neno chanya hakuna. 30 April 2018 Muhammad bin Salman(MBS) katika kongamano la viongozi New York aliwambia Wapelestina should take Trump deal or shut up. Unajua hayo maazimio ya Trump juu ya Palestina yalikuwaje? Mahali ambapo kuna Qibla cha kwanza cha Kiislam Masjid Al Aqsa.

Na vipi kuhusu urafiki wa Saudiya na Wazayuni? Wanafanya mazoezi ya kijeshi pamoja. Niambie ewe mnafiq: Naona unageuza na upande wa shilingi kuhusu mauaji ya Jamal Ghashugi. Mfalme Salman alisema Saudiya ni nchi inayoongozwa kwa sharia za kislam. Wote waliyofanya mauji ya Ghashugi watachukuliwa hatua pasipo kuangalia nafasi zao ni zipi katika nchi ya Saudi Arabia. Niambie sasa, Dunia nzima inajua muuaji ni MBS. Wamefanya nini Utawala wa Saudiya unaojinasibu unafuata sharia ya Kiislam?

Ndiyo aina ya viongozi mnao watetea wewe na mwenzako Babu na Mjukuu. Enyi wanafiq.

Nani asiyejua Amerika anayoyafanya kwenye huu ulimwengu. Halafu nchi inayojiita inatawala kisheria ya Kiislam inalindwa na dhalimu Amerika.

Halafu anakuja babu na mjukuu ananiita Mimi ni mshia na siijui vyema itikadi. Wewe Babu na Mjukuu pamoja na huyu mwenzako ni wanafiq. Muugopeni Mungu acheni unafiki ninyi.

Saudis Arabia anadiriki mpaka kuwachangia magaidi wa ISIS nchini Syria. Acheni Unafiq.
 
Mimi sio Muislam lakini We jamaa uko deep sana,big up
 
MM KUNA WATU NIKIWAHADITHIA HIVYO KUWAELEZA KUWA SAUDIA WENGI SANA MABABU ZAO HUKO NYUMA WALIKUA NI MAYAHUDI WA KIARABU WANAKUA WANANIPINGA HUKU KITAA NA KUNIAMBIA NAKUFURU, ILA UKWELI KILA SIKU ZINAVYOKWENDA UTAJULIKANA TU
 
MPAKA SAIVI WAMESHAUWA MAELFU YA WATU YEMEN, UNAAMBIWA WANALIPA MAJESHI KUTOKA NCHI MBALI MBALI HELA NYINGI SANA WAENDE WAKAPIGANE YEMEN, KUNA MAELFU YA MAJESHI YA SUDANI WAMETEKWA NA KUUWAWA, ZIKO VIDEO ZINAWAONYESHA WAMECHINJWA MAJESHI YA SUDANI NCHINI YEMEN KAMA KUKU, UTAONA SAUDIA ANAVYOULISHA WAISLAM KWA WAISLAM.
 
MKUU UNAPIGANISHA KELELE NA WATU AMBAO HATA HAWAKUSOMA ?? LEO UKIPINGA SAUDIA WATAKUITA SHIA, LAKINI UMEANDIKA UKWELI MTUPU NA ILO JAMBO LIKO WAZI ALITAKI ATA UTAFUTE KWENYE INTERNET, HONGERA SANA MKUU INGAWAJE INAUMA
 
DUH, UMECHANA MPAKA BASI MKUU, UKWELI UNAUMA SANA, MM NAKUUNGA MKONO 100%% , BASI YATATIKEA MAPIMBI YATAKUPINGA
 

Sema walichosema,sio kuuliza
 

Kaa chini uisome dini.upo mtupu kabisaa.
Kisha angalia wapi utachukua dini
 
Mkuu hammaz shukran kwa kujitolea kuwaelimisha hawa wasiojua kuhusu Saudia,Uislamu ma siasa za mashariki ya katu,pia ungewajuza kuhusu uhusiano wa familia ya Al saud na yule mzandiki wa kuitwa Al wahabi wa kutoka mji ule ambao mtume aliutabiria kuwa itatakea fitna kutoka mji huo.Mara nyingi ukweli mpya huwa unakuwa mgumu sana kuaminika kwa yule aliyemezeshwa uongo kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…